Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

Plz plz wandugu kuweni makini na hao watu ni mashushushuuu jamani wanabeep sasa wewe support au tia neneo utapotea kama upepo,,
 
Aende igunga

ha ha haa.. Igunga.. Igunga mwanangu igunga.. ah kila baaa wanakusema wewe, vituo vya basi wewe, mitaa ya manzese, kibo, mbagala, BomBom, Kwa mama Zakaria, Vetanary, Mfugambwa, Bibinyau.. watu wote wanakusema mwanangu.. aa pole.. usjali ndo ukubwa huo..hadi Kibukuasili naye..
 
Alakini ukiangalia kwa makini na kutafakari utaona muhubiri wa posta yuko sahihi kabisa,hii nchi ya democrasia bwana,kamguse uone moto wake.kuna makikwete wengi tu hapa bongo kwanini mumface prezda??au anastahili hayo ya moyoni mwa muhubiri wa posta??alakini mesej sent pia sio mbaya
 
Hata mi natukanaga
humu chumbani mwangu
hasa umeme ukikatika
halafu joto linisumbue
kisha sina kitu mfkoni
weeee anatukanika vibaya
 
Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa.
Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa.

WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO WANASEMA KIPINDI CHA NYUMA ALIKUWA HAPO HAPO POSTA, LAKINI AKIMUANDAMA SHEHE YAHYA NA KUMSEMA ILE MBAYA.SASA BAADA YA YAHYA KUFA NDO KAANZA KUMSHAMBULIA KIKWETE.

Kikwete nae akifa atahamia kwa lowasa au rostam?
 
Hata mi natukanaga
humu chumbani mwangu
hasa umeme ukikatika
halafu joto linisumbue
kisha sina kitu mfkoni
weeee anatukanika vibaya[/Q
UOTE]
duh km nakuona vile umeme ukikatika halafu uwepo na pesa unavyotundika gwanda zako ukatoe hasira baa.
He he hapa naandika jamaa pembeni hapa anapiga cm sijui kwa nani analalamika umeme umekatika hivyo leo harudi kwake mpaka umeme urudi.
Kazi ipo
 
Si vizuri wala tusipende ushabiki kumkashfu raisi wa nchi pamoja na mapungufu yake yote yeye ndiye raisi wetu,

Huyo jamaa akamatwe na afunguliwe mashtaka, kama ni kichaa apelekwe Mirembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom