Jamaa anatoa kipigo halafu anamalizia na tendo.....

Habari zinasema mwanaume ni mkurya lakini mwanamke sio inamaana naye karithishwa ukurya eeh
acha wehu wako kama hauna cha kuongea siunyamaze,mi juzi tu nimekataliwa kwa mtoto mzuri kwa sababu ya pumba zako
sitaki utani halllloooooooooooooo
 
acha wehu wako kama hauna cha kuongea siunyamaze,mi juzi tu nimekataliwa kwa mtoto mzuri kwa sababu ya pumba zako
sitaki utani halllloooooooooooooo

Mzee sa ulitaka niseme mchaga wakati ni kweli ni POTI! But tizama mantiki ya maneno yangu, hiyo ATTITUDE ndo imekukosesha huyo mtoto mzuri
 
Kuna watu wanasema ni maisha yao tuachane nayo but we learn here na naamini kabisa wale wanaosema hivyo watakuwa wana tabia za dizaini hii
 
Nimewahi kusikia kuwa eti wadada wa maeneo ya Musoma hasa Rorya na Tarime huwa wanapenda kupigwa kwa kisingizio kuwa kipigo kwao kinaonyesha mapenzi ya mume kwa mke!

Kwa upande wangu, naona huyo jamaa ni kama anabaka tu baada ya kipigo maana sidhani kama huyo msichana wake huwa ana hamu tena na hilo tendo.
 
Bahati mbaya ni kwamba kama asingekuwa anataka angeshaachana na mshikaji lakini mwanamke mwenyewe kakolea mbaya. Nasikia akishauriwa aachane na jamaa kesho anamwambia na wote wawili wanakuanzishia bifu so wamemuacha kama alivyo
 
She is in love with a saddist..too bad for her. asubiri tu siku atakapouwawa kabisa. na sio kumalizia na shughuli..what that man does is rape.
Sipendi wanaume wa hivi...hawajiamini wala hawana adabu.
 
She is in love with a saddist..too bad for her. asubiri tu siku atakapouwawa kabisa. na sio kumalizia na shughuli..what that man does is rape.
Sipendi wanaume wa hivi...hawajiamini wala hawana adabu.
It would have been a rape kama mwanamke angekuwa hataki but according to stories it seems like she likes it and anajisifia about the how the game went spectacular!
 
duh hii ni kali maana mtu anashushia kitu roho inataka
 
NATOA TAMKO: Na yeye atafutiwe mjibaba, ampatie kipigo na kumtengeneza pahala..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom