Jamaa anatoa kipigo halafu anamalizia na tendo.....

hapa nahisi kuna utunzi fulani ili kwenda sambamba na therad nyingine iliyoanzishwa na memba mwingine

sorry kama nimekosea
 
certainly! bt be warned,what appears to be too cheap is actually ver, VERY expensive. naku-pm physical adress ya mdingi ukampe chake.
Hapana shaka as long as kuna POLITICIANS hapa nchini kwetu ntawatafuta wawe washenga wangu maana ni mabingwa wa ku convince hasa wale wa chama fulani.........
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
mi naona hayakuhusu kiivyo,sio wewe wala jamaa yako nakushauri uendelee na ujenzi wa taifa,ni mtazamo wangu tu samahani.
 
Stori yako kama ya uongo vile! Anyway nimependa hapo anapomalizia na kula uroda maana inakua full kusameheana! Tena yaelekea demu anakua akipigwa anakimbilia kjificha kitandani na blanketi. Hahahahahahahaaa
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................

Huyo dada bila shaka Mkulya na jamaa nae ni Mkulya
Wao mapenzi yanadumishwa kwa kichapo cha mbwa mwizi
 
Mdada mwenyewe kakolea kwa msela ile mbaya haezi fanya hivyo hata dakika moja asee

Lazima ana kasoro huyo, haiwezekani unapokea kipigo toka kwa Bf tena yawezekana huyo jamaa hata kwao hafahamiki halafu anavumilia ujinga.
 
ndio mapenzi ya kikurya hayo!!wala hakuna tatizo hapo

MIJITU mingine akili za kwenye Masaburi nani alikuambia wakurya wote wanapiga?!! ama kukariri kila mzungu ni padre...akili zako ongeza na za kunguru basi usituseme kwa ubaya tu bila kuwa na Evidence...wadada wenyewe wanajua shughuli za wanaume wa Mara...
 
Shhhhhhhhhhhh taratibu mzeee.................
 
kumbe wanawake wenye maadili bado wapo eeh? huyo kaka ana bahati sana,mashaallah!

Mie nawachukia sana Wanaume ambao wanatumia njia mkato ya kumaliza matatizo na wake zao maGF kwa vipigo ambavyo wengine hupata hata majeraha, vilema au hata kufa. Ni kitu ambacho huwa kinanisikitisha sana na bahati mbaya Serikali bado haijaweka nguvu za kutosha katika kupambana na hawa waonevu.
 
Back
Top Bottom