Jamaa analea mtoto wangu akizan ni wake:

Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.

Wewe huna haja ya kuuliza wala kuomba ushauri..

Kama ulithubutu kumsaliti mchumba wako,hata huyo mtoto lazima nikushangae unavyomuulizia.. Na huyo mwanamke alizaa mtoto wake,si wako.. We hoja yako ni mbegu ulizomwaga..?
Ubaba si mbegu tu... Nyie ndiyo mnaotuangusha wanaume tunaonekana si waaminifu..
 
Back
Top Bottom