Jamaa anaenda Kusaga Mahindi, kumbe hii mambo bado ipo Bongo

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
250335_287060391399694_145371712_n.jpg
 
Hii mbona kawaida sana jombaa? Kwa mjini ni ngumu kuona hii coz mnanunua kila kitu madukani, mpaka teabags za uji..
 
Hapana nitakata rufaa sio tukuyu, tumefisadiwa sana Lutona na Loya, ccm bana - halafu wanasema maisha bora kwa kila mmoja wetu! Anamaisha bora huyo jamaa au bora maisha?
 
Tena kule viti ni magogo ya miti, milango ni mabanzi ambayo mbao zake zinaibwa na mafisadi, sis kule mifugo na wanadam tunachaingia maji ya kunywa aisee! Maisha magum ni noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom