Jamaa....... Amuongezea mwenzie maradhi

Kama mwenyewe alikuwa anataka? ndio inampunguzia maumivu. Au kama ndio mganga wao aliokuwa anamtibu kienyeji kawaambia hiyo ndio dawa? usiingilie mambo ya watu.

Huo unaitwa udaku, Unguja watu kama wewe mnasutwa na karabai 7, tena mchana na unaletewa beni na bembe useme vizuri.

mkuu, tutafsirie sie wa bara. beni na bembe ndo nini yakhe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom