Jamaa amgonga mama na bintie kwa wakati mmoja.

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
Sio kama mnavyofikiria..... ni kwamba jamaa aliwagonga na baiskeli kwa bahati mbaya.
 
wala hatukufikiria kama ww ulicho shuku... ila nia yako ilikua ni upuuzi uliouwaza wewe ukidhani na siye tuna mawazzo hayo.
 
oi mbona huelezei hiyo ajali waliumia Kivipi? aliwangonga Ngozi au Mifupa au Viungo .nk Elezea fresh au ndio mwandishi makanjanja
 
halafu akamweka mama mbele na binti akamweka nyuma kabla hajawakimbiza hosp. na baskeli yake.
 
kisha mama akamweka mbele na binti akamweka nyuma kabla ya kuwapeleka hospitali na bike yake.
 
Mheshimiwa Spika, kuhusu utaratibuuu..........

Man KKK amekiuka Kipengele cha 64 cha kanuni zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom