Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

may b ata unaeza kuta mshkaji alikua seduced, ukichangia na alikua tungi, xo mkewe amsamee tu, na pia mshkaji kwa kweli ajipange upya, so vizur ata kidogo, embu mshkaji ajiulize ingekua vp kamkuta mkewe kagawa nje? haifai 4 sure

Nimemsema sana mshkaji na anakiri kukosea, tatizo mke ana hasira sana ila inatia moyo kuwa amekubali kukaa kwangu kwa muda, i hope time will heal her heart na wataijenga ndoa yao, sijisikii amani ninapoona ndoa zinavunjika ujanani kwani tunajenga taifa la kihuni. Imagine mwanamke wa miaka 28 ataolewa na wangapi mpaka afike 50?
 
As time goes wife hasira ztapungua na atasamehe ila duh,mshkaji inabidi ajirekebishe,otherwise atafka pabaya

Ni kweli mkuu, ila yule mwanamke nae kwakweli ni kifaa! Halafu single mom, mrembo na ni bosi hapo patamu.
 
mwambhe amsamehe tu mmewe kwanza anajali sana,pili amekiri kosa na kuomba msamaha,tatu ndo kwanza wanainza safari ya ndoa,huo ni upepo utapita tu.bado kuna mengi na makubwa sana atakutana nayo anapaswa kuwa mvumilivu.

You are such a daughter! Hicho ndicho nachokiona time will heal her broken soul.
 
kwa kuwa alilewa,ni vizuri amsamehe.ila,kwa sharti la kuwa aache pombe.maana siku nyengine,akilewa na atarudia hayo hayo na condom ataisahau.maisha gani hayo ya kupombeka tu.kwani ana tatizo gani la kumfanya awe analewa kupindukia?
 
toto moja inatosha,..kwa mtaji huo ndoa ni kifungo mimi sitaki kwenda kununua stress huko ndoani..mliopo na mnaotaka kuingia kila la kheri...
Mie observer huku nje mkipigana mawe humo ndani..

Wewe purple wewe, temea mate chini.
 
jamaa nampongeza kwa kutouza game yupo makini shemeji amsamehe tu mambo ya tungi anaweza kujirekebisha
 
kwa kuwa alilewa,ni vizuri amsamehe.ila,kwa sharti la kuwa aache pombe.maana siku nyengine,akilewa na atarudia hayo hayo na condom ataisahau.maisha gani hayo ya kupombeka tu.kwani ana tatizo gani la kumfanya awe analewa kupindukia?

Mkuu unajua mkewe ni mjamzito halafu mimba yake haitaki jamaa amsogelee wala ku-do! Nadhani ndo maana alipokula ulabu na yule mama wa kizambia akajikuta kalamba mzigo, si unajua waliooa ndomu hawajazoea kivile kama sio mkware? Nadhani ukijumlisha na keroro, jamaa alijisahau kama alivaa na kumbuka alikula mzigo kwenye gari.
 
Wewe purple wewe, temea mate chini.

mate ya nini Bondpost hebu jaribu kujiuliza ingekua ni huyo rafiki yako amemkuta mkewe katika hali inayoendana na hiyo angemsamehe??tena mkewe angetimuliwa usiku huo huo bila hata ya kufikiria mara mbili..
Sasa inakuaje mke ndo afuge maradhi?do you think hili litamfanya aache pombe??hiyo ndoa ikiendelea do you think imani ya mke kwa mumewe itakua kama awali??itakua ni ndoa for the sake of the child..
Tatizo letu wanawake hua tunajifanya mama huruma na wakati sisi hatuhurumiwi!
Ndo mana mie nasema to me biashara ya ndoa hailipi!
 
Last edited by a moderator:
Nilishaanza kukulia timing kitambo! So usijaribu kunikatisha tamaa kabisaaa, afadhalì uwe mpolo nature ichukue mkondo wake!

Kaka huyo binti wa kichaga tena hao si ndo wanasemaga we nenda kote ila ulete hela nyumbani. Hapo anapiga mkwara tu, ukimuangushia euro kadhaa mezani anatulia tuli.
 
Nilishaanza kukulia timing kitambo! So usijaribu kunikatisha tamaa kabisaaa, afadhalì uwe mpolo nature ichukue mkondo wake!

hahahaa bado masaa mangapi hiyo timing yake ikamilike,kama vipi kimbia kabisa unaweza kunibadilisha lol!
 
mate ya nini Bondpost hebu jaribu kujiuliza ingekua ni huyo rafiki yako amemkuta mkewe katika hali inayoendana na hiyo angemsamehe??tena mkewe angetimuliwa usiku huo huo bila hata ya kufikiria mara mbili..
Sasa inakuaje mke ndo afuge maradhi?do you think hili litamfanya aache pombe??hiyo ndoa ikiendelea do you think imani ya mke kwa mumewe itakua kama awali??itakua ni ndoa for the sake of the child..
Tatizo letu wanawake hua tunajifanya mama huruma na wakati sisi hatuhurumiwi!
Ndo mana mie nasema to me biashara ya ndoa hailipi!

Naomba nikuulize, umeshudia wanawake wangapi wake za watu wanatoka nje ya ndoa zao na kufanya zinaa hata na watoto wadogo? Madereva wao? Walinzi hata shamba boy? Pili unadhani waume zao hawafahamu kinachoendelea? Mie naamini wanaume huwa tunaugulia kimyakimya hatupayuki mapungufu ya wake zetu, hilo ni tatizo sana ila amini nakuambia nimeshuhudia baadhi ya wanaume wakiwafuma wake zao katika mambo mbalimbali na kuwasamehe, hapa napokuambia, nina rafiki yangu kamfuma mkewe mara mbili analiwa denda kwenye gari, kamsamehe pamoja alitoa kichapo ila leo wana ukimwi na mke ndo ana hali mbaya sana, anytime tunamzika. Usidhani wanaume huwa hayawakuti, ndoa kama unaitaka, you are in for it.
 
Last edited by a moderator:
Kaka huyo binti wa kichaga tena hao si ndo wanasemaga we nenda kote ila ulete hela nyumbani. Hapo anapiga mkwara tu, ukimuangushia euro kadhaa mezani anatulia tuli.

hahahahaa naona kama somo linaniingia hivi ati umesema euro?
 
Nashukuru kwa ushauri ndo maana nimemkubalia mkewe aje kukaa kwangu mke wangu ampe kampani labda distance itawarudishia penzi lao.

Safi kwa kumsaidia ila na wewe usipate advantage ya matatizo ya mwenzako ukamlia mke wake hapo kwako.
 
Safi kwa kumsaidia ila na wewe usipate advantage ya matatizo ya mwenzako ukamlia mke wake hapo kwako.

Hapana mkuu, mie sio wa kihivyo ndo maana mke wangu tulikubaliana kuwasaidia na mshkaji ananijua in and out, on top of that sina mazoea na shem wangu na kumbuka ana ujauzito, nitakuwa mtu wa ajabu kuomba mchezo kwa mtu mwenye matatizo kiasi hicho.
 
Naomba nikuulize, umeshudia wanawake wangapi wake za watu wanatoka nje ya ndoa zao na kufanya zinaa hata na watoto wadogo? Madereva wao? Walinzi hata shamba boy? Pili unadhani waume zao hawafahamu kinachoendelea? Mie naamini wanaume huwa tunaugulia kimyakimya hatupayuki mapungufu ya wake zetu, hilo ni tatizo sana ila amini nakuambia nimeshuhudia baadhi ya wanaume wakiwafuma wake zao katika mambo mbalimbali na kuwasamehe, hapa napokuambia, nina rafiki yangu kamfuma mkewe mara mbili analiwa denda kwenye gari, kamsamehe pamoja alitoa kichapo ila leo wana ukimwi na mke ndo ana hali mbaya sana, anytime tunamzika. Usidhani wanaume huwa hayawakuti, ndoa kama unaitaka, you are in for it.

mimi sijawahi kushuhudia mume akimsamehe mke kwenye makosa ya usaliti instead nimeshuhudia ndoa za namna hiyo zikivunjika,labda hili limeharibu saikolojia yangu..ila mke kumsamehe mume hata akimfumania mara kumi hili ndio nimeliona mara nyingi..
All in all kama mtu anaweza kuvumilia hayo na aolewe but ukijiona hutoweza ni bora usiolewe kabisa..
 
Mwambie asamehe tu alikuwa anapiga self service....

Dah huyu is mwizi ni kibaka

:biggrin1:....dah mnanifurahishaga sana humu ndani....ila ulevi mbaya yani jamaa hata kukumbuka kuitoa? kavaa suruali hivyo hivyo mpaka nyumbani...that is soo disgusting
 
hahahahaa naona kama somo linaniingia hivi ati umesema euro?

Si unaona mambo hayo? Ukimwagiwa euro kadhaa ? mezani, gari inaletwa mpya, jamaa anabadilisha furniture zote hadi vitanda, unapelekwa serengeti kwa wiki unalala Sopa lodge unadhani utakumbuka tena we purple wewe?
 
Back
Top Bottom