Jamaa akata miaka 38 bila kuoga kisa?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

McX4+9vBv8Bp9tA80AkruMAAAAASUVORK5CYII=
Huyo jamaa hapo juu aitwaye Kailash Singh (66) ametoa mpya kwa kukaa miaka 38 bila kuoga wala kunyoa ndevu. Kisa?Aliweka nadhiri kuwa ataoga siku akipata mtoto wa kiume. Singh ameingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness kuwa mtu anayeongoza kwa kunuka. Pamoja na yote hayo yeye hajali hadi apate mtoto wa kiume. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
 
McX4+9vBv8Bp9tA80AkruMAAAAASUVORK5CYII=
Hiyo ndiyo picha ya jamaa ambaye alikata miaka 38 bila kuoga.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom