Jamaa afa gafla baada ya kutoka kuangalia mpira!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,511
Tupo hapa kinondoni hospital tunasubiri polisi waje kuthibitisha! Amekufa baada ya kuingia ndani ya gari lake na dereva ni demu wake!

Nawasilisha
 
King Kong mbona mpira bado droo kwa aggregate 3-3 mpaka ulipo-post saa 5.08 usiku huyo mwanamke asilete ya Lulu waluutizamia mpira Guest?
Tupo hapa kinondoni hospital tunasubiri polisi waje kuthibitisha! Amekufa baada ya kuingia ndani ya gari lake na dereva ni demu wake!

Nawasilisha
 
Tupo hapa kinondoni hospital tunasubiri polisi waje kuthibitisha! Amekufa baada ya kuingia ndani ya gari lake na dereva ni demu wake!

Nawasilisha
Unajuwa kwamba hii habari yako haikidhi viwango vya JF? hivi hapa kila mtu akisema awe analeta thread holela kama hizi patatosha kweli?
 
Mtaje au tueleze namba za gari, au mwonekano wa marehemu.....kuna watu hadi muda huu hawajarudi home ati.....
 
Kwani siku hizi polisi ndo wanaosibitisha kifo au madaktari? Sipati maudhui ya hii taarifa
 
Bila shaka alikuwa mshabiki wa Real Madrid

Hebu fuatilia vema kwn labda hajafa bado na isije ikawa unamzushia tu!
Yasije yakawa yale yule mchezaji F. Muamba wa club ya Bolton ya London majuzi.

Ila kama itakuwa ni kweli basi ninasema Rest In Peace Kamanda!
 
tetesi za kinondoni zinadai alikuwa aki angalia mpira mwaulanga sports centre akajiskia vibaya .hiyo ni mida karibia na half tym ya gemu ya jana ya madrid bada ya half tym watu wakanza kulia. njee ya hospitali kulikuwa na gari aina ya raum nyeupe.labda ndio ya marehemu i dnt know.info hii ni tetesi tu sijui kama ni kweli
 
Back
Top Bottom