Jamaa abaka hadharani

Mimi mwenyewe najiuliza, hivi ina maana hata mawe hayakuwepo? Unawezaje kushuhudia ukatili wa aina hii halafu ukanyamaza kimya? Na huyo mama alikuwa anapiga kelele au ilikuwaje? Mmh, ni vizuri kufuatilia, unaweza kukuta ni mkeo ndiyo amebakwa, na kwa hali hiyo kama jamaa ni mgonjwa, basi ni kuandika tu maumivu.

Mkuu nimejiuliza swali kama hilo.. Maana kama wananchi wanaweza kupambana na majambazi wakiwa na bunduki na wao mawe na kuwashinda.. Watashindwa nini kumpiga mawe hadi kumuua huyo Mjeshi aliefanya kitendo hicho..? Ukichukulia concentration ya jamaa ilikuwa kwenye tendo la kubaka so akawa prone kwa mashambulizi yote ambayo yangeanzishwa na umma mgongoni kwake..! M sry but its a very far fetched story hii.. Kungekuwa na hata ushahidi wa picha maana katika hao waliojazana hapo ina maana hapakuwa na mwenye hata cimu ya mchina..?
 
Haiwezekani umati wakusanyike kushuhudia tu jambo la kinyama namna hiyo. Kama ni kweli basi hao watazamaji watakuwa na matatizo makubwa zaidi ya akili.

Nakubaliana na wewe hapo wagonjwa ni watazamaji sio mtendaji ni vipi kama angekuwa dada ako,binti yako,mama yako bado ungetizama tu?
 
Mkuu nimejiuliza swali kama hilo.. Maana kama wananchi wanaweza kupambana na majambazi wakiwa na bunduki na wao mawe na kuwashinda.. Watashindwa nini kumpiga mawe hadi kumuua huyo Mjeshi aliefanya kitendo hicho..? Ukichukulia concentration ya jamaa ilikuwa kwenye tendo la kubaka so akawa prone kwa mashambulizi yote ambayo yangeanzishwa na umma mgongoni kwake..! M sry but its a very far fetched story hii.. Kungekuwa na hata ushahidi wa picha maana katika hao waliojazana hapo ina maana hapakuwa na mwenye hata cimu ya mchina..?
Sitamani hata kuona hiyo picha maana ni udhalilishaji uliopitiliza kwa huyo mama wa watu. Just imagine ni mamako, dadako au mkeo ndiyo picha zake zianze kusambazwa hivyo mitandaoni. I wish kama yupo aliyepiga hiyo picha asiizambaze kabisa. Ni kitendo cha aibu kilichopindukia. Mahali pengine huyo mmama angeweza hata kujinyonga kabisa kutokana na aibu. Lakini kwa huku kwetu pengine linaweza kuchukuliwa kama ni tendo la kawaida.
 
Ndo tatizo la utawala wa sheria watakwambia tunawapongeza wana makanya kwa kumuangalia mjeshi akibaka mpaka alipo maliza ufedhuli wake , sasa subirini mahakama iamue na kwa kipindi chote hicho uchunguzi unaendelea atakuwa nje kwa dhamana na ushishangae baadae akakutwa hana hatia. Nasema huu ni zaidi ya upoyoyo ulioonyeshwa na walio shuhudia kitendo hicho.
 
Hii taarifa ni ngumu kuiamini. Inabidi tuwe kama TOMASO sometimes.

Ina maana na hao Askari walienda kuangalia MOVIE hapo.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
yani watu
hawakujichukulia sheria mkononi? kwa nini? yani wanamuogopa kwa sababu
ni mwanajeshi au? :A S angry:

Mmmmm! hawajajichukulia sheria mkononi, wangefanya hivyo ki ukweli,huyo mjeda angegeuka roast! watu wangemchoma moto! nawasifu polisi kwa kutumia busara! najua watamkamata kistaarabu.
 
Haiwezekani umati wakusanyike kushuhudia tu jambo la kinyama namna hiyo. Kama ni kweli basi hao watazamaji watakuwa na matatizo makubwa zaidi ya akili.

Mkuu , exactly mawazo yangu!!
Ni aibu kubwa watu wazima "rundo" wamezunguka kuangalia ukosefu wa haki kwa a weaker person ... bila kufanya jitihada zozote za kumsaidia. Shame on them!!

Inasikitisha watu tulipofikia, tunaona tukio hilo kama kitu cha kawaida tuu!
 
watazamaji walifanyiwa mazingaombwe? Polisi walikuwa misukule? huyo mwanamke mchawi hadi wamuangalie? hawara yake? unyama usiosahaulika. ulimwengu wa kawaida hii haipo.
 
Mmmmm! hawajajichukulia sheria mkononi, wangefanya hivyo ki ukweli,huyo mjeda angegeuka roast! watu wangemchoma moto! nawasifu polisi kwa kutumia busara! najua watamkamata kistaarabu.

hapana kiongozi,
polisi hawakufanya ustaarabu kwani walipofika walikuta jmaa ndio anamalizia game nao wakawa wanamsubiri amalize kabisa ndio wamchukue au wafanye nini sijui. kwa vile yeye alikuwa akijitamba mttani na kuogopwa na kuamua kufanya tukio kwa vile hakuna wa kumfanya lolote ilibidi watu ( raia) wachukue sheria mkononi kumfunza adabu. kwani hata huko polisi sina hakika kama kaenda.
 
Akapimwe akili huyo mjeda na kama ni mzima lazima atakuwa anaamini katika ushirikina. Naona Poliissiiii wamekuwa poli jamii kwelikweli
 
Back
Top Bottom