Jama hii website mbona inagoma ila iko na vitu msaada plz?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Jama habari za majukumu? Samahani kuna website ina nyimbo currently ila haitaki kudownload nyimbo je suruhisho nini inaitwa "bongo muziki" Manase
 
haha jamaa si anauza miziki? Au hujui sijui hata kama anawashirikisha wanamuziki maana analipwa kwa kuuza nyimbo zisizo zake

Visit hapa kaeka maelekezo ya kudownload

how.html
 
haha jamaa si anauza miziki? Au hujui sijui hata kama anawashirikisha wanamuziki maana analipwa kwa kuuza nyimbo zisizo zake

Visit hapa kaeka maelekezo ya kudownload

how.html

jamaa anapata faida kwa kazi zisizo zake, mimi pia sina hakika kama wasanii hufaidika na mapato yake
 
chief-mkwawa si unajua wabongo tulivyo wazuri kupeana taarifa... kuna host wa wap sites anaitwa wen.ru ndo ana scrpit kama iyo ya kuuza nyimbo kwa kutoa links ambazo zina expire baada ya muda, sasa bwana manase naona akawapasha habari na wenzie ili wanufaike kwa pamoja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom