Jama hii pc inngomea kuplay hli tatizo litakuwa wap?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau tangu jana kila nikifanya double click katika audio song hamna action yoyote lkn kwa video inakubali kwa hiz nyimbo za audio zinataka had niright click nakuopen with a certain program(kwmfano window media player au vlc) na baada ya nyimbo moja kuwa played nyingine ndipo zinakubali pia kwa double click na kureplace ilikuwa inaplay hv ugonjwa huu wa kutoplay kwa kudouble click kwenye audio tatizo nin na je virus kwa hli wanawezahusika?
 
Back
Top Bottom