Jakaya M. Kikwete ZINDUKA CHADEMA wanakuondoa!

asante kwa ushauri wako kwa mkuu wa kaya , swali langu binafsi kwako je uanafikiri akizinduka sa izi itamsaidia? na mbona umechelewa sana kumshauri wakati makamanda wakiwa nje ya fence we umengoja mpaka wapo sebuleni? eemungu wambingu wasaidie hawa watu wa ppzzz waingie chumbani haraka. ....... amen.
Ninaomba niwe mkweli katika hili. Nilikuwa ninampenda sana Jakaya Kikwete na bado nitaendelea kumpenda, japo mimi ni mtoto wa mkulima tena wa jembe la mkono niliyebahatika kusoma vizuri enzi hizo kwa sababu ya sera za Hayati Mwl. Nyerere - Baba wa Taifa.

Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mstaarabu na muungwana sana. Hapendi kukosana sana na watu, hususani anaowafahamu. Hilo ndilo nilomtafuna kwa kasi yeye binafsi na chama chake!

Wito wangu kwa Mh. J.K, chondechonde zinduka CHADEMA wameishaingia sebureni bado tu kuingia chumbani! Walianza pole pole na tukadhani ni kikundi cha msimu, lakini ishara na viashilia vyote vinaonyesha, CHADEMA siyo tena Chama cha Msimu. Ninaandika haya nikijua kuwa hapa jamvini wengi ni CDM, lakini sina namna yoyote ya kukutumia ujumbe wa kukushauri sababu ya itifaki yako kama Rais. Baadhi ya watu wako waliokuzunguka aidha hawakushauri vizuri au bado wana underestimate CHADEMA.

Dr. Slaa kama kamanda mkuu wa CDM ni mtu makini, jasiri, mvumilivu na mpiganaji wa kweli. Ninampenda sana na kumuombea kwa Mungu afya njema japo sipo CDM. Ninapoandika haya ninajua ninachokisema na sina ushabeki wowote ni CDM wala CCM.

J.K tafadhari, zinduka CHADEMA wameingia sebureni sasa wanajipanga kuingia master bedroom!
 
Unaanza kwa kujidai kuwa "niliyebahatika kusoma vizuri" halafu tazama hayo niliyoyaweka nyekundu. Huo ndio usomi mzuri? labda ulibahatika kujuwa kusoma Ngurumo na Mzalendo ukajiona tayari umeshasoma sana. Nakusahihisha hapa chini ili siku ingine usirudie kutuchafulia lugha hii tamu:

sebureni
= sebuleni

viashilia = viashiria

ushabeki = ushabiki
 
andika maneno aya: RAIS WA KWANZA KURHUSU MAANDAMANO YA AMANI NA RAIS WA MWISHO KUTOKA CCM ALIKUWA JK MRISHO,MTANASHATI KUTOKA MSOGA. aya yatakuwa maneno yangu katika kitabu changu nitakachokitoa mwaka 2014 mwishoni,kitaitwa 'NOW AFFRICA RISES TO DEMOCRATIC DICTATORSHIP BY Gsana.

Nimeyahifadhi,si vibaya tukija kumbushana mida hiyo ikikaribia,tuombe uzima mkuu.
 
hawezi kuamka amechomwa sindano ya usingizi mpaka 2016 ndio
ata amka nakuona nchi imeshachukuliwa ple sana kwa JK na CCM
 
Ninaomba niwe mkweli katika hili. Nilikuwa ninampenda sana Jakaya Kikwete na bado nitaendelea kumpenda, japo mimi ni mtoto wa mkulima tena wa jembe la mkono niliyebahatika kusoma vizuri enzi hizo kwa sababu ya sera za Hayati Mwl. Nyerere - Baba wa Taifa.

Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mstaarabu na muungwana sana. Hapendi kukosana sana na watu, hususani anaowafahamu. Hilo ndilo nilomtafuna kwa kasi yeye binafsi na chama chake!

Wito wangu kwa Mh. J.K, chondechonde zinduka CHADEMA wameishaingia sebureni bado tu kuingia chumbani! Walianza pole pole na tukadhani ni kikundi cha msimu, lakini ishara na viashilia vyote vinaonyesha, CHADEMA siyo tena Chama cha Msimu. Ninaandika haya nikijua kuwa hapa jamvini wengi ni CDM, lakini sina namna yoyote ya kukutumia ujumbe wa kukushauri sababu ya itifaki yako kama Rais. Baadhi ya watu wako waliokuzunguka aidha hawakushauri vizuri au bado wana underestimate CHADEMA.

Dr. Slaa kama kamanda mkuu wa CDM ni mtu makini, jasiri, mvumilivu na mpiganaji wa kweli. Ninampenda sana na kumuombea kwa Mungu afya njema japo sipo CDM. Ninapoandika haya ninajua ninachokisema na sina ushabeki wowote ni CDM wala CCM.

J.K tafadhari, zinduka CHADEMA wameingia sebureni sasa wanajipanga kuingia master bedroom!

Tupe source ya utafiti wako kuhusu huu mtazamo wako please.
 
JK hana la kufanya, anajua kwamba hiyo ni laana ya Mwl. J.K. Nyerere. Walisubiri alivyofariki tu wakajivinjari na yaleyale aliyokataza - JK & EL. No way back, huo ndio mzimu wa Mwalimu.
 
Ninaomba niwe mkweli katika hili. Nilikuwa ninampenda sana Jakaya Kikwete na bado nitaendelea kumpenda, japo mimi ni mtoto wa mkulima tena wa jembe la mkono niliyebahatika kusoma vizuri enzi hizo kwa sababu ya sera za Hayati Mwl. Nyerere - Baba wa Taifa.

Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mstaarabu na muungwana sana. Hapendi kukosana sana na watu, hususani anaowafahamu. Hilo ndilo nilomtafuna kwa kasi yeye binafsi na chama chake!

Wito wangu kwa Mh. J.K, chondechonde zinduka CHADEMA wameishaingia sebureni bado tu kuingia chumbani! Walianza pole pole na tukadhani ni kikundi cha msimu, lakini ishara na viashilia vyote vinaonyesha, CHADEMA siyo tena Chama cha Msimu. Ninaandika haya nikijua kuwa hapa jamvini wengi ni CDM, lakini sina namna yoyote ya kukutumia ujumbe wa kukushauri sababu ya itifaki yako kama Rais. Baadhi ya watu wako waliokuzunguka aidha hawakushauri vizuri au bado wana underestimate CHADEMA.

Dr. Slaa kama kamanda mkuu wa CDM ni mtu makini, jasiri, mvumilivu na mpiganaji wa kweli. Ninampenda sana na kumuombea kwa Mungu afya njema japo sipo CDM. Ninapoandika haya ninajua ninachokisema na sina ushabeki wowote ni CDM wala CCM.

J.K tafadhari, zinduka CHADEMA wameingia sebureni sasa wanajipanga kuingia master bedroom!

Ungekuwa sio shabiki wa CCM ungekuwa umetulia na kukaa kimya na kuendela kuangalia ili game la kisiasa na matokeo yoyote ungeyakubali; lakini kupiga kwako makalele yaani wewe ni fisadi kabisa. Kwanza huko master bedroom anafanya nini?Je, wewe unauhakika kama yumo master bedroom?
 
LAURENT.jpg

Wakati mwingine watu wakichoka wanaweza kufanya lolote hususan pale baadhi ya walio madarakani wanapojiona kuwa ni Miungu watu.
 
Mtoa mada kwakukusaidia tu ni kwamba umesema walioko hapa kwenye JF wengi ni Chadema! Hapana unakosea sema wengi walioko hapa JF ni wapenda mabadiliko kwenye nchi hii.
 
Ninaomba niwe mkweli katika hili. Nilikuwa ninampenda sana Jakaya Kikwete na bado nitaendelea kumpenda, japo mimi ni mtoto wa mkulima tena wa jembe la mkono niliyebahatika kusoma vizuri enzi hizo kwa sababu ya sera za Hayati Mwl. Nyerere - Baba wa Taifa.

Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mstaarabu na muungwana sana. Hapendi kukosana sana na watu, hususani anaowafahamu. Hilo ndilo nilomtafuna kwa kasi yeye binafsi na chama chake!

Wito wangu kwa Mh. J.K, chondechonde zinduka CHADEMA wameishaingia sebureni bado tu kuingia chumbani! Walianza pole pole na tukadhani ni kikundi cha msimu, lakini ishara na viashilia vyote vinaonyesha, CHADEMA siyo tena Chama cha Msimu. Ninaandika haya nikijua kuwa hapa jamvini wengi ni CDM, lakini sina namna yoyote ya kukutumia ujumbe wa kukushauri sababu ya itifaki yako kama Rais. Baadhi ya watu wako waliokuzunguka aidha hawakushauri vizuri au bado wana underestimate CHADEMA.

Dr. Slaa kama kamanda mkuu wa CDM ni mtu makini, jasiri, mvumilivu na mpiganaji wa kweli. Ninampenda sana na kumuombea kwa Mungu afya njema japo sipo CDM. Ninapoandika haya ninajua ninachokisema na sina ushabeki wowote ni CDM wala CCM.

J.K tafadhari, zinduka CHADEMA wameingia sebureni sasa wanajipanga kuingia master bedroom!
Sawa mwananchi wangu nimekusikia na nimekuelewa vizuri sana!.....lakini hata mimi mwenyewe nimechanganyikiwa na sijui nishike lipi na niache lipi!....maana matatizo na mashitaka ninayopata toka kwa wananchi ni mengi sana na yananinyima usingizi! Hebu angalia hapo chini
1.Naambiwa nimechakachuwa uchaguzi uliyopita [ninakiri}
2.Naambiwa serikali yangu inanuka ufisadi kila idara {ninakiri}
3.Naambiwa naangukaanguka ovyo hapa ikulu na majukwaani {nakubari}
4.Naambiwa nimewahi sema sielewi kwanini Tanzania ni masikini {nakubari}
5.Naambiwa nimeshindwa kuwachukulia action mafisadi papa {nakubari}
6.Naambiwa nataka kuwagawa watanzania kwa udini na ukabila ili ccm yangu itawale milele {nakubari}
7. Naambiwa mimi ndiye rais zezeta kuliko maraisi wote waliyopita {nakubari}

Lakini kinachoninyima raha zaidi ni haya matatizo madogo madogo yanayotokea huko kwenye jamii yetu....mara Arusha wameuana,mara mbunge wangu wa musoma kapigwa mawe,mara viongozi wangu wanazomewa mikutanoni,mara watu wanadai katiba mpya,mara mjadala wa katiba wastishwa kwa zomeazomea,mara mwenyekiti wangu wa ccm Rungwe apigwa risasi,mara yule mzee aliyekuwa ananilinda kwa majini yake leo nasikia amefariki dunia.....yaani ni mitihani bin vurugu kwa kwenda mbele! maana sijui nianzie wapi na niishie wapi!.....Na hapa nilipo ninauguwa ugonjwa unaoitwa Chadema ya nguvu ya umma! siyo siri nisikiapo neno CDM huwa nashikwa na presure ya kushuka mithili ya mtu anaetaka kufa....yaani hii CDM hii! itaniuwa Rais wenu.

Kwahiyo jamani kutokana na maelezo yangu hapo juu,mimi sina cha kufanya! na sasa niko tayari hao CDM wachukue tu hii nchi ili ninusurike na malawama haya ya kila siku lol!....alafu chama changu hakina mvuto kama zamani.....mmmh jamani njoone tu ikulu mchukue nchi yenu! mie nishajichokea na hivi namsubiri tu mke wangu mama Salma arudi huko musoma ili turudi Bagamoyo......
2.
 
wakishazinduka watanzania wote kwa maana ya kuwa na fikra na mtazamo wa kuijua, kuidhamini na kuipenda tz yeu , hakutakuwa na nafasi ya kumpa huo ujumbe kwani wenye nchi yao wataichukua kama kuhamisha chupa ya chai kwenye meza. 2015 is around the conner.
 
Unaanza kwa kujidai kuwa "niliyebahatika kusoma vizuri" halafu tazama hayo niliyoyaweka nyekundu. Huo ndio usomi mzuri? labda ulibahatika kujuwa kusoma Ngurumo na Mzalendo ukajiona tayari umeshasoma sana. Nakusahihisha hapa chini ili siku ingine usirudie kutuchafulia lugha hii tamu:

sebureni
= sebuleni

viashilia = viashiria

ushabeki = ushabiki

Asante sana kwa kunisahihisha. Lakini ujumbe umefika?
 
kaka umemshauri vizuri sana lakini muda ndo umeshakwisha. Pili kaka sisi JF wengi si wana CDM kama unavyodai ila sisi ni wana CCM wafu na sasa tunaona CHADEMA ndicho chama pekee chenye kutetea maslahi yetu na tayari kina qualify kuchukua dola hata kuanzia kesho asubuhi.
NASHUKURU MKUU WENGI HAWAJUI KWAMBA WATU HATA KADI ZA CHADEMA HATUNA TUNAKADI ZA CCM AMBAZO HATUZILIPII!
TUNAONGEA HAYA FOR THE GOOD OF OUR NATIONAL! hatutaki wizi wa mali ya umma na wengine wakifa kwa kukosa panadol, hata kama tunaoiba ni sisi wenyewe but JK ndo anatufanya tuishi kisanii kama mwanaye alivyosema!
 
Ninaomba niwe mkweli katika hili. Nilikuwa ninampenda sana Jakaya Kikwete na bado nitaendelea kumpenda, japo mimi ni mtoto wa mkulima tena wa jembe la mkono niliyebahatika kusoma vizuri enzi hizo kwa sababu ya sera za Hayati Mwl. Nyerere - Baba wa Taifa.

Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mstaarabu na muungwana sana. Hapendi kukosana sana na watu, hususani anaowafahamu. Hilo ndilo nilomtafuna kwa kasi yeye binafsi na chama chake!

Wito wangu kwa Mh. J.K, chondechonde zinduka CHADEMA wameishaingia sebureni bado tu kuingia chumbani! Walianza pole pole na tukadhani ni kikundi cha msimu, lakini ishara na viashilia vyote vinaonyesha, CHADEMA siyo tena Chama cha Msimu. Ninaandika haya nikijua kuwa hapa jamvini wengi ni CDM, lakini sina namna yoyote ya kukutumia ujumbe wa kukushauri sababu ya itifaki yako kama Rais. Baadhi ya watu wako waliokuzunguka aidha hawakushauri vizuri au bado wana underestimate CHADEMA.

Dr. Slaa kama kamanda mkuu wa CDM ni mtu makini, jasiri, mvumilivu na mpiganaji wa kweli. Ninampenda sana na kumuombea kwa Mungu afya njema japo sipo CDM. Ninapoandika haya ninajua ninachokisema na sina ushabeki wowote ni CDM wala CCM.

J.K tafadhari, zinduka CHADEMA wameingia sebureni sasa wanajipanga kuingia master bedroom!

Kama anaingia humu jamvini itakuwa bomba sana
 
Jamaa nadhani ujumbe utakuwa umemfikia,mwambie jamaa wako speed 120 hivyo huyo kijana wake Nape wa cCCJ hawezi kukimbizana nao.ulimi utatoka nje kama mbwa,CHADEMA for 2015.
 
Wengine walisema sana, ohh ohh, hadi wamechoka kabisa (By Wanyika Ocrh - Kenya).......

Ukiunga hao nyani watatu, ndiyo utawapata maana ya neno CCM.
See%20no%20Evil%20Hear%20no%20Evil%20Speak%20no%20Evil%201.jpg
 
Ukimya, uoga wa maamuzi, kupenda sifa, kuogopa kuchukiwa, ni udhaifu mkubwa wa JK na pia ni mtaji tosha wa CDM, Nyerere ni mwasisi wa CCM tena kwa kauli yake mwaka 1995b aliwakataa JK na Lowassa au tumesahau? Jk Lowasaa wamefanya nini zaidi ya kuchemsha kila mmoja kwa aina yake? Acheni kumpamba JK kwa sifa za uongo tena hata mleta sread hii ni mmoja wa wapambe wanaompotosha JK, mwambieni ukweli kwamba "UNA UWEZO WA KUONGOZA NCHI... ACHIA ADARAKA HARAKA"
 
Back
Top Bottom