Jakaya Kikwete na Mizengo Pinda

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Mara nyingi ili mafanikio yawepo lazima kuwe na combination(pacha). Mfano, enzi za urais wa Nyerere, sera na mawazo ya mawaziri wake wote wakuu yalikuwa kwa kiwango kikubwa yanafanana. Nyerere, Kawawa, Sokoine wote walikuwa wajamaa. Mwinyi na Malecela wote walikuwa Liberals. Mkapa na Sumaye, wote walikuwa mabepari. Nadhani hata combination ya JK na EL ilikuwa inafanana. Swali langu ni hili, je Combination ya JK na Pinda ikoje. Wana sera moja(sizungumzii sera ya chama chao).
 
ur right kuna waziri mmoja aliniambia hili more than 3 years ago .JK &EL ilikua partnership ( kama vidic na Rio kwa wale mashabiki wa Man utd ) nzuri coz they had everything in mind on how they will run the country sasa baada ya EL kujiuzuru na Mh M Pinda ku takeover with all respect he is a good leader bt aja fit in .
 
Yote mazezeta tu sioni wa afadhali hapo Pinda si mwanasiasa kazubaa mno kikwete mpenda sifa alitaka na yeye aitwe rais aweke jina lakini kakujua anakwenda kufanya nini.
 
Mhhh lkn mbona wanaendana? Wote ni ccm, wote wa2 wa kilimo kwanza, wotewanachukia ufiusadi kwa maneno, wote ni wanafiki kuhusu meremeta na kagoda, wote ni wapenda sifa na wengine mtaongozea
 
Hivi kweli pinda anawasaidia nini watanzania? Mi naona yupo tu kuziba gep la uwaziri mkuu! kwa nini asiondoke tu si bora hata EL japokuwa fisadi ila alikuwa anaoneka hata kwa nje tu mchapakazi? Huyu Mizengo sijui woga, sijui uzoba au ulevi sifa......... eti ooh! mtoto wa mkulima sijui nini aaaaaaaaaaaaaaaaaah bull shit!
 
Hakuna cha mtoto wa mkulima wala nini,hasaidii chochote tangu ameingia nini alichofanya kikaonekana?kazi kulia lia tu na kujisafisha mbele za watu asionekane fisadi kwa kujiita mtoto wa mkulima.apinge hata mara moja kwa vitendo ufisadi kama anavyofanya Mh.Sitta.Kwangu Sitta ndio mtoto wa mkulima angalau kuliko huyu anayetumiwa kama SHOCK ABSORBER wa vitendo vya kuhujumu taifa letu.
 
Pinda naye mhuni tu, anakataa shangingi wala hasemi liuzwe fedha zipelekwe kwenye Elimu au Miundombinu. Cha msingi alikuwa aelekeze liuzwe nasi tungemwona sio Fisadi. Wote ni mafisadi hakuna aliye afadhali ndiyo maana hadi Leo hajasema lolote kuhusu madhambi waliyoyafanya polisi Arusha?
 
Back
Top Bottom