Jakaya kikwete na 48 laws of power..

NILIKUWA NASOMA KITABU CHA 48 LAWS OF POWER,,,,,,
NA NILIKUWA NAJARIBU KUONA NI SHERIA ZIPI AMBAZO KIKWETE
AMEZIFUATA VIZURI NA ZIPI AMBAZO AMESHINDWA KUZIFUATA
AMBAZO ZIMEM COST KATIKA URAIS WAKE.....
KWA MTAZAMO WANGU KIKWETE ALIITUMIA ZAIDI SHERIA NO 1.KABLA
HAJAWA RAIS.......

NAFIKIRI ALIJITAHIDI KUFUATA LAW NO 1,3.NA 6.
NA AMESHINDWA KABISA KUFUATA LAW NO 2,5,15,16,20
NA ZINGINE AMBAZO ZIMEMCOST MAMBO MENGI,NYIE MNAONAJE????


The 48 Laws of Power


by Robert Greene and Joost Elffers


Law 1


Never Outshine the Master

Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please or impress them, do not go too far in displaying your talents or you might accomplish the opposite – inspire fear and insecurity. Make your masters appear more brilliant than they are and you will attain the heights of power.


Tukubali, tukatae, tatizo la jamaa yetu ni uwezo Period. Kama siyo hivyo mtumie hicho kitabu ili asahihishe makosa.
 
power without control its "pure crystal no.s.ns." ivo ndo mkulu anavyotembea,kuna madude mwenyewe anayagwaya,so the rules are great for seeking control

fafanua please.
 
Back
Top Bottom