Jakaya Kikwete kajenga kiwanda chake kwenye makazi ya watu Mbagala

Jamani eh, Kikwete anaweza kuwa na matatizo yake kama binadamu wengine yeye siyo Malaika/Nabii. Hili la kusema eti kiwanda cha Mbagala cha CEMENT ni cha kwake ni uzushi mtupu - tusilete mambo ya kuweka chumvi wakati mwingine kwa kutafuta public sympathy na publicity STUNT kwa kuwa tunajuwa akitajwa Kikwete tu, basi watu watakuja juu kwa kumlahumu, tusisite kumsema pale anapokosea mambo fulani lakini siyo vizuri kumzulia MAMBO.

Kwa nini nasema hivyo:

Sidhani kama utetezi wako unajitosheleza; Tanga Cement ambayo ni Simba Cement sasa wanapanua kimsingi ni kujenga kingine kando ya kile kilichopo sasa ambacho kipo nje kidogo ya Jiji la Tanga.

My Take; Kivuli cha Tanga Cement kimetumika hapo ili kuficha ukweli halisi wa jambo hili.... Tutege sikio!
 
Munashangaa hilo, mbona kajenga hoteli (Bilila) kwenye pitio la Wanyama Serengeti na pia amechukua jengo la TANAPA na ameliuza na TANAPA wamepewa miezi 6 kuhama

Mkuu, hebu tujulishe vizuri;
Hilo jengo lipo wapi? na aliyewapa notice TANAPA ni nani? Kama jengo ni lako linaweza kuuzwa na wewe kupewa notisi ya kuhama na mtu mwingine? (Unless ni kwa amri ya mahakama?)
 
wanaohusika ni waarabu; hawa jamaa wanaouza mafuta either ni TIOT au OILCOM, na wanashirikiana na wachina. kuna kazi tulishawafanyia huko nyuma around 2007. labda useme JK ana hisa fulani i don't know.
lakini JK anaingia vipi hapo? kama kuna shida zisemwe na zilekebishwe. wananchi wasipoamka hii nchi haitapata maendeleo hata malaika waje watawale. habari za wachangiaji wengine za kusema CDM ikitawala mambo yatabadilika wakati wananchi wamelala hivi ni ndoto za mchana.
lazima wananchi wawe wakali na wawawajibishe viongozi katika kila hatua ndiyo tutaona maendeleo
 
I realy cried kwa jinsi usivyo considerate na sisi wananchi. Naomba uelewe hatujalala wenyewe tumelalishwa na kutokuwepo kwa uongozi wenye dhamira njema nasi. Ni kweli tunawatarajia CDM angalau kuassume uongozi wenye dhamira njema nasi. Usisahau kuwa uongozi ni nguzo kuu ya kijamii kwa survival na maendeleo; angalau baadhi yetu tunaamini hivyo.
 
Jamen watanzania tuache woga! suluhisho la haya yote ni kukopy ya Misri na Tunisia na kupesti Bongo, hao mnaowaita wakubwa kwani nani amewaweka? ni kweli inavyonekena DOWANS inataka kutapikia hayo mabilioni ndani ya kiwanda hicho!! Wenye nchi ni sisi na si huyo mkwere kwere, anatakiwa arudi Pwani akacheze bao! Mi npo ready kujitoa mhanga, naisubiria iyo tarehe ambayo CHADEMA inatngaza mgomo wa nchi nzima, Arusha tushachoka muda mrefu na huo upuuzi yani kama ingewezekana raia wote tukaungana, CCM ni chura wa masika!
 
Jamani eh, Kikwete anaweza kuwa na matatizo yake kama binadamu wengine yeye siyo Malaika/Nabii. Hili la kusema eti kiwanda cha Mbagala cha CEMENT ni cha kwake ni uzushi mtupu - tusilete mambo ya kuweka chumvi wakati mwingine kwa kutafuta public sympathy na publicity STUNT kwa kuwa tunajuwa akitajwa Kikwete tu, basi watu watakuja juu kwa kumlahumu, tusisite kumsema pale anapokosea mambo fulani lakini siyo vizuri kumzulia MAMBO.

Kwa nini nasema hivyo:

  • Kiwanda hiki ni mali ya TANGA CEMENT nadhani wakishirikiana na WACHINA au mitambo ya kuzalisha CEMENT imeagizwa kutoka UCHINA, sasa hapo Kikwete anusikana vipi!

  • Kuhusu vumbi linalo tokana na uzalishaji wa CEMENT, mimi ningeshauri wakazi wa Mbagala wawashinikize wajenzi wa kiwanda hicho kwamba vumbi hilo liidhibitiwe kwa njia ya ku-spray maji kwenye vumbi hilo kwa pressure kubwa badala ya kuliachia lipitie kwenye Chimney, wakitekeleza hilo basi wakazi wa huko watakuwa SALAMA, na actually athali za vumbi hilo halitakuwa confined Mbagala tu linaweza kusaambaa popote upepo unapo elekea kama hawataweza kulidhibiti kwa njia niliyo eleza hapo juu.

  • Wakati wa kuwabana ni sasa hivi kabla hawaja anza kuzalisha CEMENT, mkichelewa tu basi watawaletea visingizio chungu mzima, kumbuka WAZO Hill bado kiwanda chao kinatoa vumbi hewani bila ya udhibitu wowote na sijawahi kusikia wanachukuliwa hatua yoyote na wahusika wa mazingira - chunga sana.

Mkuu kuna ushahidi wa umiliki huu kama unavyosema hapa?
 
Viongozi wa nchi yetu ni vilaza kweli kweli, hivi karibuni tajiri mmoja toka India kwa jina Mukesh Ambani alitembelea mbuga zetu huko kaskazini; hawa jamaa kwa ujinga wao walifikiri yule bwana alikuja kutalii, ukweli si hivyo!! Mukesh Ambani ameinunua kampuni ya mafuta ya GAPOIL na ni kampuni hiyo ndiyo walionunua hoteli zote za mbugani toka Lake manyara hotel zote mpaka Lobo hatel; hivyo basi mmiliki wa hizi hoteli ni huyo Mukesh Ambani na ndio maana alikuja kuangalia mali zake anazomiliki huko Serengeti hakuja kuangalia wanyama jamani hiyo ilikuwa ni by the way tu!!
 
Hicho kiwanda kimechukua kiwanda cha zamani kilikuwa na Alikofanya kazi Tenga wa TFF. Kilikuwa kinaitwa TLR inawezekana nimekosea jina lakini ni Landrover limited something. Opposit kiwanja uwazi cha JWTZ au katikati ya Kizuiani na rangi tatu ni barabarin kulia kama unaelekea kilwa au mtwara

Kwani huyo aliyeleta hii habari anaushaidi? au porojo tu hata kama tunapinga tupinge kwa hoja na ushahidi na si kupandikiza chuki
 
Kumbe ni yeye? Mimi niliambiwa ni cha mwanae, nikaogopa pesa ametoa wapi?? Duh,nchi ishauzwa hii...
 
Ama kweli watu kwa usanii ila mwanangu manasheria haufai kuigiza..mwanasheria unajiliza kihivo hata chekechea anajua kabisa unaekti...hahahaha afu na huyo alokushauri upige picha watoto wakikohoa ndo kanimaliza kabisa ,watakohoa vipi wakati kiwanda hakijaanza kuzalisha vumbi?mi nashauri tufanye hivi ,wapeleke hao watoto pale wazo kwenye boiler waweke humo kisha upige hizo pic za ushahidi ci unajua tunachachua kila kitu...<<YAWN>>...very tired kwa ufupi umeniboa bana
 
Back
Top Bottom