Mkuu usiwe bingwa wa kukosoa kila jambo ebu msome vizuri rais JK...
Rais amezindua mradi uliojengwa kwa gharama ya Sh79 bilioni, wenye uwezo wa kuzalisha lita za ujazo milioni 51 kwa siku mradi huo utawahudumia zaidi ya watu 381,000 na utadumu hadi mwaka 2017.
Mradi huo una uwezo wa kuzalisha maji mengi kuliko uwezo wa matumizi ya wakazg wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake, mahitaji ya sasa ni lita za ujazo 38 milioni kwa siku...wewe endelea kupinga kila kitu.
Kikwete is the second smart president after Nyerere. You know why? This is the only URT President who has led this country without its first founder and yet goes well! Kikwete truly deserves some hands!
Tuna miaka 50 tangu tuwe taifa bado tunaongelea miradi ya maji tu???
Hivi ni lini maji yameanza kuwa muhimu nchini Tanzania?
Leo hii tulitakiwa kuongelea ukuaji wa viwanda na hata kutafuta namna ya kuanza kuunda matrekta yetu wenyewe??
Ndo kwanza karibu tunafikisha miaka 51 ya Uhuru Rais wa nchi anajivunia hatua ya kuondokana na visima vya maji??
Kuna matatizo ya maji machafu toka vyooni na mabafu katika kila nyumba Tanzania,
Ni lini tutajenga miundo mbinu ya kisasa ya maji machafu?
Miji yetu inanuka mikojo na mavi masaa 24 wote tunaona sawa tu?!
Nimesoma vizuri article na ndiyo nikauliza kama wamemnukuu vibaya rais wetu. Labda wewe 'msemaji' wake unaweza kutuambia kama walimnukuu vibaya au la, but yaliyoandikwa kwenye hiyo article ni sahihi basi nabakia na kauli yangu kwamba it is 'un-presidential' statement.
Nimesoma vizuri article na ndiyo nikauliza kama wamemnukuu vibaya rais wetu. Labda wewe 'msemaji' wake unaweza kutuambia kama walimnukuu vibaya au la, but yaliyoandikwa kwenye hiyo article ni sahihi basi nabakia na kauli yangu kwamba it is 'un-presidential' statement.
Rais Kikwete alisema atahakikisha anatekeleza ahadi zake zote alizoahidi wakati wa kampeni mwaka 2010 na kuhoji vyama vya upinzani vitawaeleza nini wananchi wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Muulizeni mbona alikuja kimyakimya mbeya anajua hatakiwi kabisa mkoani hapa.Halafu watu aliowahutubia waliletwa na malori kutoka maeneo ya nje ya jiji kama chunya na vijijini.
Hajatekeleza hata 15% ya ahadi zake, lakini bado ana-ahidi tu, dhaifu bwana anatumia reticular formation kufikiriMagwanda haya hawayaoni. Kwi kwi kwi teh teh teh!
Ndugu zangu hivi ni sifa kuwa ombaomba kwa sababu yoyote na hasa kama una mikono, miguu, na hivi vifuatavyo kulingana na mwasisi wa CCM, WATU, ARDHI, SIASA (SAFI) NA UONGOZI (BORA) kwa miaka yote hiyo we are begers and we are proud of being sponsored by EU?? Mr President help us, how can we beg everything even our luxury vehicles are DFP shame on us Tanzanians. The more we are funded by foreigners the more we become dependants (slaves). We have forgotten our resources that God has given us free of charge since the creation of Heaven and Earth. Yangu macho!!!! NB: watoto wetu na wajukuu wetu watakuja kudai tuuuuu!!
Fikiria vizuri mkuu!Kuna thread nimeisoma hapa jana kuwa kuna mwenyekiti wa wilaya wa chama fulani wilaya ya Handeni alikuwa anawakataza wananchi kuchangia gharama za uboreshaji huduma za afya, mpaka ikafikia hatua wakarushiana maneno ya vitisho na diwani. Kwahiyo, Rais Kikwete yuko sahihi, kuna vyama vinavyobeza maendeleo. Hata yakipatikana vinaumia roho. Viongozi wa vyama kama hivyo wanatamani nchi iendelee kuwa maskini tu, ili wapate cha kusema.
Hajatekeleza hata 15% ya ahadi zake, lakini bado ana-ahidi tu, dhaifu bwana anatumia reticular formation kufikiri
110%, mwambieni alizoahidi zinatosha asiendelee kuahidi, tumechoshwa na longolongo zakeWewe umetimiza zako ngapi?
Wewe ni msemaji wa Dr Slaa JF pamoja na Chadema...
Rais anafanya kazi kwa ajili ya watanzania tunampongeza Rais Kikwete huo mradi ndio mkubwa kuliko yote nchi.
Wewe subiri visima vya Sabodo.
Mkuu kigoma bado haijaanza kujengwa iwe Kama Dubai
Walioiba fedha zetu za maendeleo na kusaini mikataba feki, kuzificha Uswiss na SA mkiambiwa kuzichukua mnakaa kimya hao unawasema je???Kuna thread nimeisoma hapa jana kuwa kuna mwenyekiti wa wilaya wa chama fulani wilaya ya Handeni alikuwa anawakataza wananchi kuchangia gharama za uboreshaji huduma za afya, mpaka ikafikia hatua wakarushiana maneno ya vitisho na diwani. Kwahiyo, Rais Kikwete yuko sahihi, kuna vyama vinavyobeza maendeleo. Hata yakipatikana vinaumia roho. Viongozi wa vyama kama hivyo wanatamani nchi iendelee kuwa maskini tu, ili wapate cha kusema.
​wape chadema robo ya hiyo misaada mtaona tanzania kama paradise tatizo la rais wenu ni mswahili kagame alimwita mswahiliswahili upeo wa ubongowake ni kama wewe zoba imagine jiangalie wewe na maoni yako hata ukipewa u dc utakuwa kituko kwi kwi kwi