Jakaya Kikwete ana tatizo gani

STEPHEN JR

Member
May 21, 2011
14
3
Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?
 
kipofu akianguka kwenye shimo ujue ni mbishi anajua hana macho anakubali kwend peke yake au kuongozwa na vipofu wenzake.
 
Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?
yaaani Kikwete huyu wa msogo ndio kamwambia Nape vuvuzela kuwa ni msaliti wa chama chake / pse nijuze habari hii
 
Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?

Lini mkwer,e kayasema hayo, chanzo cha habari plz then nitarudi
 
Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?

Mwalimu aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi itawakula mpaka wakome! JK amechanganyikiwa, akili imechanganyika na uchafu wa kwenye dampo!
 
Ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa Arusha ndiye aliyetoa maneno kama hayo angesema Kikwete ingekuwa ni bye bye kwa Nape
japo jk ni gamba lakini tukumbuke ni mkuu wa Nape haiwezi kuwa hivi, hana haja ya kubishana naye mtoa Post kasema tena huko vizuri umechakachua
 
kutimiza wajibu uliokabidhiwa utekeleze si kibali cha kufanya lolote bila busara.lakini haya yanatokana na malezi yao hao walitangulia katika kujenga misingi ya uongozi bora.si vema kijana akakurupuka na kushika nyazifa nyeti bila kupima busara zake kwa jamii..
 
Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?

hii habari kama ya kupikwa vile? anyway, with Jk everything is possible!
 
Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?
Watoa thread za hovyohovyo nawajaza kwenye ignore list kama FF, nakupa thread moja tuu kujirekebisha otherwise nitakuwa sina access na thread zako. Huu ndo mwarobaini wangu wa kukwepa Ban
 
Kamuulize aliyemnunulia Suti 5

SI suti zile bali ni KAPTURA NA VIJAMBA KOTI
:focus:

mtoa mada umeuliza kua zumbukuku ana tatizo gani... JIBU LANGU: kwanza yupo nchini?? uskute anapngea hayo yuko juu ya bembea ana kenua kama anatekenywa maneno yanamtoka tu kama ana hara
 
Jamaa yetu wa magogoni ana tatizo la kutofahamu kuwa uenyekiti wa chama na urais ni vyeo vilivyo juu ya uwezo wake kiakili, kibusara, kitaaluma, kimang'amuzi na kimaono. Usalama wa taifa ulisaidia kumuweka madarakani awamu ya pili baada ya wananchi kumtema walipong'amua kuwa hana uwezo. Kwa bahati mbaya, baada ya kupachikwa kitini, usalama wa taifa hauwezi kuongoza kwa niaba yake! Amebaki kama zezeta fulani anayesubiri kupelekwa bafuni kuogeshwa baada ya kujichafua!
 
Back
Top Bottom