Nyahende Thomas
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 211
- 104
wewe kaka nafikiri una kaushamba fulani hivi.
unafikiri kufaulu mitihani vizuri ndio kujua kazi. umeniudhi kwa maneno yako hapo juu mimi nitakuita hujaelemika na ni mshamba vile.
hata kama simpendi huyu mwanasheria mkuu lakini hapo juu umebore sana. maprofesa wote tunawajua mbona wanagaragazwa kwa kazi ni akina mrema?
usomi wenu huo umeua nchi kwasababu mnafikiri kusoma maanake ni kufaulu mitihani
Wacha kupiga kelele, labda utuambie kama una urafiki na werema.
Alianza kwa kuchakachua sheria ya gharama za uchaguzi lakini Dr. Slaa akamnasa mara moja na sheria ikafanyiwa ammendment hata kabla haijaanza kutumika, we bado tu huoni kwamba hiyo pass grade inaweza ku-reflect uwezo wa huyu jaji? ingawa si wote wanaopata pass vyuoni wanakuwa vilaza hata kazini lakini jaji werema ameonyesha udhaifu mkubwa tangu mwanzo.
Binafsi nilipata kumfahamu mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa board member wa chuo kimoja maarufu sana jijini dsm na ninaposikia hizi kauli zake sishangai kwakuwa tangu nimfahamu amekuwa mtu wa kuchemka tu, hata kwenye hiyo board alikuwa anaonekana mweupe tu.