Joy1981
Member
- Nov 12, 2010
- 26
- 1
Hapa unachanganya mambo. Kama kweli ni mtu uliyesoma na jaji Wererema basi utakuwa umefanya kazi muda wa kutosha. Hivyo utakubaliana na mimi kuwa wapo watu ambao ufanisi wao wanapokuwa kazini hutofautiana sana na jinsi alivyokuwa shuleni.
Sina nia ya kuchambua uwezo wa AG wetu ila nnachotaka kusema tujiepushe na mawazo kuwa vipanga wote huja kuwa watendaji wazuri au kinyume chake.
Ni hayo tu mkuu
Ukitenda mema wataku-jaji kwa mema uliyotenda. nafikiri hujaelewa vizuri motion:tape::tape::tape::tape: