Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Bila shaka inaonyesha ww uko nje ya znz,hivi unavyosema muungano haram hujawahi kujiuliza nani anafaidi muungao kama sio nyinyi wa znz ambao ubaguzi kwenu ni kama kula,
Namchukia sana Maalim seif ni dikteka tena msaliti mkubwa,leo toka kaingia madarakani sijaona alichofanya znz zaidi ya kunywa chai ikulu na kuwageuka wenzake waanzilishi wa cuf,kulikuwa na tatizo gani kwa HR kugombea ukatibu? Chama cha kiimla kabisa hiki hakina tofauti na ccm,toka nasoma Primary mimi Katibu mkuu Maalim seif na Mwenyekiti ni Lipumba,ina maana hakuna wengne wenye sifa za kuongoza cuf mpaka hawa jamaa,hawana mvuto kisiasa tena lakini hawako tayari kuachia madaraka,poleni ndio mnakwenda kaburini pamoja na mme wenu ccm
Uwe ndani au hata nje ya Tz au Zanzibar lakini kisheria uharamu unazidi kuwa pale pale.
Sasa niambia Je hati hiyo ya muungano wenu iliyopitisha kwa hati ya dharula na Bunge la muungano. je ni lini iliridhiwa na baraza la wawakilishi ili iwe sheria kwa upande wa Znz?
Jibu hoja na si kumshambulia mtu.
Mimi toka nazaliwa mpaka namaliza Chuo kikuu Nyerere alikuwa rais itakuwa maalim seif. Kumbuka kuna taratibu za kubadilishana uongozi katika chama na zimeainishwa wazi katika katiba na kaanun zao. Ilimpasa Hamad Rashid azifuate na sio kuleta chochoko. Kama mlimtuma au alikuwa padikizi lenu basi kashafukuzwa na hatakiwi tena.
Chama kinaendeshwa na katiba na kanuun na sio vyombo va habari
nakupa pole