Jaji Werema ageuka waziri wa mambo ya ndani

Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,982
1,009
Jaji werema anachangia hoja ya wizara ya mambo ya ndani. Anachofanya ni kuzungumzia hotuba ya mhe g lema aliyoitoa jana. Je amegeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani? Yupo live anaongea sasa.
 
Jaji werema anachangia hoja ya wizara ya mambo ya ndani. Anachofanya ni kuzungumzia hotuba ya mhe g lema aliyoitoa jana. Je amegeuka kuwa waziri wa mambo ya ndani? Yupo live anaongea sasa.

Kwani lukuvi alipoomba mwongozo na kuanza kujibu hotuba ya Lema, alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani?

Hivi wabunge wa ccm wanapojivika jukumu la kujibu hotuba za wenzao wa kambi ya upinzani huwa wamekuwa mawaziri?

Kwahiyo werema anafanya kile wanachofanya wenzake, hakuna jipya hapo.

Yeye ni mwanasheria mkuu wa serikali ya ccm, labda kama angekuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania ndipo tungemshangaa.
 
Leo Mwanasheria mkuu Ameamua kuonyesha msimamo wake kwa kuiponda CHADEMA juu ya maandamano na akatoa ufafanuzi wa Kisheria kuwa matokeo ya uchaguzi yanapingwa kwa kupelekwa mahakamani na SIYO kwa Maandamano.Ila Ameshindwa kutoa ufafanuzi wa kisheria inasema vipi juu ya Maandamano.
Nawasilisha
 
analinda kitumbua huyo, hamna kitu hapo zaidi ya upuuzi mtupu!!!! hata anachoongea hakina mvuto na wala huwezi kushawishika kumsikiliza.....anaboa mno....
 
Huyu mwanasheria keshalewa "ulevi" wa Magamba, hajui kwamba huwezi pinga matokeo ya kura za Urais mahakamani?? Ndio huyu huyu alisema tulipe dowans hatuweza kata rufaa mahakamani!! Hawa jamaa sijui wakienda CCM "akili" zao sijui wanaacha wapi!
 
Mwanasheria mkuu kama ilivyo PM anatakwa apewe nafasi ya kutolea ufafanuzi mambo yeyote yanatokea bungeni wizara yeyote ile anapona anahitaji kutolea ufafanuzi.

Hivyo ndivyo ilivyo labda sema alichongea kama kina hoja au hakina hoja. lakini hakuna shida Mwanasheria mkuu akiongelea au akijibu hoja za wabunge zinzohusu wizara yeyote ile
 
Hajawabeza CHADEMA tu, hata sisi ambao sio wanachama wa chama chochote ametubeza alishawahi kusema wanaodai katiba mpya wanaongea kama bata. sitegemei lolote jipya kutoa kwa kwa mchovu huyu.
Kumbukeni ni kikaragosi huyu huyu ndio aliumbuliwa na Dr Slaa baada ya kumuingiza mkenge JK wakati anasaini sheria ya gharama za uchaguzi kumbe yeye alikuwa amechomeka vifungu vyake binafsi. mwehu kabisa huyu.
 
Huwezi kutegemea otherwise, Mwanasheria wa serikali ni part and parcel ya chama tawala na yeye ndiye anayewamislead katika kutoa ushauri wa kisheria. Wananchi wanaweza kupinga uchaguzi na malaka iliyopo kwa maandamano. Ona Misri na Tunisia.

Hizo ni kindergaten theories kwani hajui kuwa kuna practical theories ambazo yeye, Nahodha na Saidi wananweka kuvua kofia zao na kuungana na waandamanaji
 
Mwanasheria mkuu kama ilivyo PM anatakwa apewe nafasi ya kutolea ufafanuzi mambo yeyote yanatokea bungeni wizara yeyote ile anapona anahitaji kutolea ufafanuzi.

Hivyo ndivyo ilivyo labda sema alichongea kama kina hoja au hakina hoja. lakini hakuna shida Mwanasheria mkuu akiongelea au akijibu hoja za wabunge zinzohusu wizara yeyote ile

Ni sawa kabisa mkuu kama ulivyoeleza.

Tatizo langu kwa "poti" ni kwamba amejaa umagamba zaidi kuliko uanasheria.
 
Huwezi kutegemea otherwise, Mwanasheria wa serikali ni part and parcel ya chama tawala na yeye ndiye anayewamislead katika kutoa ushauri wa kisheria. Wananchi wanaweza kupinga uchaguzi na malaka iliyopo kwa maandamano. Ona Misri na Tunisia.

Hizo ni kindergaten theories kwani hajui kuwa kuna practical theories ambazo yeye, Nahodha na Saidi wananweka kuvua kofia zao na kuungana na waandamanaji

Hata Apinge vipi tukiingia mtaani tutawang'oa tuu, mabaladhuri wakubwa hawa, wanaipindisha demokrasia kwa matakwa yao!!
 
Leo Mwanasheria mkuu Ameamua kuonyesha msimamo wake kwa kuiponda CHADEMA juu ya maandamano na akatoa ufafanuzi wa Kisheria kuwa matokeo ya uchaguzi yanapingwa kwa kupelekwa mahakamani na SIYO kwa Maandamano.Ila Ameshindwa kutoa ufafanuzi wa kisheria inasema vipi juu ya Maandamano.
Nawasilisha
Amesema eti anaangalia uwezekano wa ku-regulate haki ya Maandamano.
 
nakumkumbusha mwanamke aliyemhukumu kifo Makambako!
Je alikata rufaa?. Werema ameshindwa kuwasilisha vielelezo kwa mtuhumiwa wa Richmond- GILE bin Kuchi- kuchi Hotaye, sasa hivi yuko HURU anakula kuku kwa mrija. Kunauwezekano kabisa Werema kala Deal -kapata mgao wa mauzo ya Dowans kwa Symbion power. Mheshimiwa Wenje kawaeleza ukweli.
 
Ni swa kabisa mkuu kama ulivyoeleza.

Tatizo langu kwa "poti" ni kwamba amejaa umagamba zaidi kuliko uansheria.

Na sio kawiada sana ya jamii yenu kuwa hivi. Niliposikia mwanzoni kateuliwa na zile sifa za media azlikokuwa anapewa nlianza kuamini kuwa tunaweza kuona mabadiliko.

Sasa sijui hata yale magizo ya kesi za kina mramba yataisheje. Inawezekana ni mkurya amabye hajatahiriwa. teh teh teh teh

Kwa kweli hatua iliyofikia CCM Magamba ni kama mgonjwa wa ukiwmi ambaye yuko amabyo hata ukimpatia ARV unamharakishia kifo.....

Tuombe mazishi ya CCM yawe ya amani. Maaana naona watoto na wajukuu na vitukuu bado wanakodolea macho masalia japo wanajua wazi ni vya kupora
 
Amesema eti anaangalia uwezekano wa ku-regulate haki ya Maandamano.

Na sisi tutaangalia uwezekano wa kumfuta kazi kabla hajaregulate haki ya maandamano, mwanasheria wa Serikali sio mwanasheria wa CCM ni mwanasheria wa watanzania milioni 45 ambao ni wanachama wa vyama mbalimbali, Dini zote zilizopo na zitakazokuja, raia wema na hata wafungwa waliojela na majambazi ambao hawajashikwa na hata wanaoshitakiwa.

Pili haki ya maandamano ni haki ya kikatiba regulation yoyoyte atakayoweka ni lazima itakuwa kinyume cha katiba, hatafaniliwa katika uovu huo asilani.

Asijione kuwa shauri amewekwa na rais basi yeye ni mwanasheria wa rais, anasimamia maslahi ya watanzania wote na hilo alijue na aliheshimu sana hilo.
 
Huyu mwanasheria keshalewa "ulevi" wa Magamba, hajui kwamba huwezi pinga matokeo ya kura za Urais mahakamani?? Ndio huyu huyu alisema tulipe dowans hatuweza kata rufaa mahakamani!! Hawa jamaa sijui wakienda CCM "akili" zao sijui wanaacha wapi!

Umesema jambo la maana mkuu. Maandamo ya kupinga bei ya sukari, mgao wa umeme, n.k nayo ni marufuku? But Werema is always on the wrong side. Mnakumbuka mawazo yake kuhusu kulipwa Dowans na Katiba mpya?
 
Back
Top Bottom