Jaji Warioba: Sioni kwanini tusiwalipe DOWANS pesa zao....

Wan jf habari zenu!
Kimsingi mi na mawazo tofauti kidogo na wote wanaopinga Dowans isilipwe,nchi yetu inafuata utawala kisheria,na kwa kuwa kila mhimili una kazi yake kikatiba,mahakam kuu imeshakazia hukumu ya dowans kwamba ilipwe pesa zake.

1.hapa nchini uamuzi wa mahakama unaweza kupingwa nje ya mahakama kwa mabango na maandamano?

2.mi naamini mahakama zetu bado zina reputation ndo maana hukumu zingine zinatolewa wala hakuna anayetishia kuandamana.

3.kuandamana na kupinga hukumu ya mahakama ni kukiuka katiba pia.

4.mi nadhani tusiendelee kupinga huku maamuzi ya mcingi yanabaki yaleyale,hivyo ni kuendelea kuwachangia wamiliki wa dowans riba.
hivi tukiendelea kubishana hadi deni likafika bill 130 itakuwa faida au hasara kwetu?

5.wanasheria waje na majawabu ya kuiepeuka basi si kupinga tu kimsimamao leteni solution ya naman gani hukumu ya mahakama kuu inaepukwa nje ya mahakama.
je kuna hukumu ya mahakama kuu iliyowahi kupingwa nje ya mahakama ? kama hilo linawezekana basi watu wangeandamana kupinga hukumu kama ya akina zombe kuwa si halali.
6.Tuwalipe kutekeleza hukumu ya mahakam then,tuendelee kuwatafuta waliotufikisha hapa,na wachukuliwe hatua.

MAHAKAMA NI MHIMILI HURU KAMA BUNGE NA EXECUTIVE .MAAMUZI YAKE HATA KAMA HAYAPENDEZI HAYAKWEPEKI NJE YA MHIMILI WENYEWE.

hapo kwenye lime; weee nyamaza kabisa, we fisadi nini?? dowans walipwe lakini si na serikali(kodi zetu). walipwe na pesa ya mafisadi. kwa nini tunakimbilia tulipe kwanza then tuwatafute wezi; kwanza tuwatafute wapi? kwani hawajulikani? kwanza hawa majambazi waende mahakamani, wafilisiwe then pesa yao ndo ilpe dowans; ikiwa pesa watakayofilisiwa haitatosha ndo kodi zetu ziongezee kuziba deni. wee umpe fidad bilion mia moja halafu ndo umpleke mahakamani utamweza wapi?? nchi yenyewe hii ufisadi kila mahali hadi magogoni!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom