Jaji warioba sinde-mratibu wa katiba

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Mheshimiwa Jaji Warioba,
Tunakuomba usiwachagulie waTanzania nini cha kuongea katika kutoa maoni yao. Kwa nini hutaki madaraka ya rais yazungumzwe. Kama tulivyotabiri, you will never be impartial you being a staunch product of CCM from time immemorial!!! Actually matatizo yote iliyonayo Tanzania yanatokana na madaraka makubwa aliyonayo Rais ambaye huwe ku-question deeds zake at all levels. Watanzania , hapa hakuna katiba mpya kama mratibu mkuu anaaza kuwa na kauli hizi.
 
tume imepewa ukarimu wa kutosha,lazima wafanye waliyoagizwa.450000 pa day sio mchezo.walioba hata kama angeombwa apendekeze mshahara,asingeomba hiyo pesa.
 
patanuka lazima madaraka yapunguzwe hawezi kuchagua wakurugenzi majaji heeee ni kerop
 
Always don't expect a fair judgement when the judge has interest in the matter. One important question that you should not forget to take on board when discussing this issue is: who nominated judge Warioba and to save which group (or party) of the population? What about his chairmanship, how did it come to be? Who appointed him as chairman of the steering committee? I am not shocked to hear such a statement emerging from the chairperson at this early stage of process.
 
imekula kwao kukubal katiba mpya manake tunataka turudishe parliamentary supremacy ili bunge liwe na madaraka ya juu as provided katika katiba chakavu......... wameanza mikoa laini kama tanga,pwani,pemba, tunawangoja
 
Back
Top Bottom