chobu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 308
- 26
Chonde Chonde!!! Mhe. Rais Magufuli!!! Katiba ni maoni yetu wananchi, tafadhali mchakato uanze na yale maoni yetu tuliyoyatoa wakati Mzee Warioba alipotutembelea kuomba maoni! Hivi muda na fedha zilizotumika kuzunguka nchi kutafuta maoni yetu wananchi ni za mchezo????? Rais wetu hapendi matumizi mabaya ya kodi za Watanzania. Namshauri Mhe. Rais aanze na Katiba ya Warioba na siyo Katiba Pendekezwa!!! Vinginevyo hakukuwa na maana ya kupoteza fedha zote hizo na muda wa wananchi kutoa maoni ya Katiba. Naamini Rais wetu ni msikivu!!!