Jaji Warioba: Mchakato wa Katiba ukianza nitatoa ya Moyoni

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,097
103,372
Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa kumalizia katiba atatoa yake ya moyoni. Mwananchi linaripoti.
Baada ya waziri wa sheria Dr.Mwakyembe kueleza kuwa John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa katiba pale ulipoishia, Jaji Warioba amehifadhi yake ya Moyoni lakini atayatoa.
YANGU YA MOYONI:-
Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katiba hawana tena credibility ya kutusemea.Kuna H.Polepole, Butiku na Warioba mwenyewe, wapige kimya tu.
 
Warioba huyu mzee naye ni mnafiki mkubwa alivyokuwa anazunguka kumnadi Magufuli nchi nzima alitegemea nini?Kwan walioshiriki kuyaondoa maoni kwenye rasimu aliyowasiliSha ndo ccm wenzake?alitegemea Magufuli atakwenda kinyume na maamuzi ya kuu ya CCM?
 
huu ndo unafiki wenyewe 2naousemea kila cku, anashindwaje kutoa YAMOYONI sasa hv? au hayajafka kwenye moyo bado yako kwnye FIGO? nlikua namheshm xana huyu mzee 'UBWABWAOBA' na yule mwenzake humphrey FASTAFASTA lkn tangu niwaone kwnye kampen, nimewapuuza xana hawa wanafiki,
 
Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa kumalizia katiba atatoa yake ya moyoni. Mwananchi linaripoti.
Baada ya waziri wa sheria Dr.Mwakyembe kueleza kuwa John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa katiba pale ulipoishia, Jaji Warioba amehifadhi yake ya Moyoni lakini atayatoa.
YANGU YA MOYONI:-
Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katiba hawana tena credibility ya kutusemea.Kuna H.Polepole, Butiku na Warioba mwenyewe, wapige kimya tu.

laana niliyowaombea baada ya kuiba kura inaanzaa taratibu ngoja niendelee kufunga na kuomba
 
huyu mnywa gongo aache unafiki wake. si akamuulize magufuli aliekuwa anampigia kampeni.. Ndio maana makonda alimdunda
 
Huu mchakato hata ile Tume ya katiba ilisahaulika kabisa, lakini kwa katiba ile ya Sitta na Chenge wananchi hatutaikubali hata kidogo, rasimu ya II IIBULIWE TOKA HUKO ILIPOZIKWA
 
Nasubiri kuona atakachofanya Magufuli kuhusu muendelezo wa katiba mpya.Hii ni kati ya mitihani mikubwa ya Rais huyu wa awamu ya tano.Akiipiga teke rasimu ya Warioba wananchi wataona hayuko pamoja nao,na akiikumbatia rasimu ya Warioba CCM wataona hayuko pamoja nao.Ni vita kati ya wema na uovu,tusubiri tuone kipi kitashinda.
Hapo ndipo watanzania watakapoanza kumjua vizuri Magufuli
 
Mzee Warioba,H.polepole na mzee Butiku hawana tena cha kuongea,wao waendelee kubaki nayo moyoni tu.
 
Mchakato ulikwenda vizuri.
Mwakyembe mchakato ulipoishia anzia hapo na kuumaliza kama Rais alivyoagiza. No time to waste
 
huyu mnywa gongo aache unafiki wake. si akamuulize magufuli aliekuwa anampigia kampeni.. Ndio maana makonda alimdunda

mkuu yaan hawa wazee WALYOBA, LUBUVA na samwel 6, watakutana na KIANGAZI, mpaka lyamba ,wasalit hawa
 
Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa kumalizia katiba atatoa yake ya moyoni. Mwananchi linaripoti.
Baada ya waziri wa sheria Dr.Mwakyembe kueleza kuwa John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa katiba pale ulipoishia, Jaji Warioba amehifadhi yake ya Moyoni lakini atayatoa.
YANGU YA MOYONI:-
Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katiba hawana tena credibility ya kutusemea.Kuna H.Polepole, Butiku na Warioba mwenyewe, wapige kimya tu.
Na anyamaze milele. Alipokwa anazunguka kamnadi JPM alikwa anafikiri nini? Binafsi sina kinyongo na JPM lakini kama ningekuwa Jaji Warioba, nisingejitokeza lichwa kichwa kumnadi JPM. Ningenyamza. Hii ingenipa fursa ya kusema yangu ya moyoni endapo mchakato wa katiba ungeanza kama ambavyo inatarajiwa.
 
Mh Warioba wa Tanzania walikuthamini sana wakati ule ulipokuwa ukiipigania ile Katiba iliyopendekezwa na wananchi hata pale ulipofanyiwa fujo na DC Makonda walio wengi tulimlaani kijana huyu; lakini baada ya wewe kubadilika na kuipinga katiba ile uliyoitafuta kwa karibu miaka miwili na zaidi hapo ndipo ulipojidhalilisha ktk macho ya wa Tanzania wengi; ushauri wangu kwako kaa kimya kabisa
 
Nasubiri kuona atakachofanya Magufuli kuhusu muendelezo wa katiba mpya.Hii ni kati ya mitihani mikubwa ya Rais huyu wa awamu ya tano.Akiipiga teke rasimu ya Warioba wananchi wataona hayuko pamoja nao,na akiikumbatia rasimu ya Warioba CCM wataona hayuko pamoja nao.Ni vita kati ya wema na uovu,tusubiri tuone kipi kitashinda.
Mkuu mimi naweka akiba ya maneno...lakini sina imani na Magufuli katika suala la katiba na naamini hana ubavu wa kupingana na mkwere
 
huyu mnywa gongo aache unafiki wake. si akamuulize magufuli aliekuwa anampigia kampeni.. Ndio maana makonda alimdunda

Hivi uliwahi kumuhudumia au kumpikia hilo gongo? Kama hujawahi hii habari uliiptaje na kuihakiki?
 
Back
Top Bottom