Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

Attachments

  • EP2011-PSC-Report-complete-ENG.pdf
    1.7 MB · Views: 22
  • EP2011-PSC-Report-ENG.pdf
    155.7 KB · Views: 27
Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman ni mmoja kati ya watu wanne muhimu wanaoweza kushika nafasi ya Mwendesha Mashtaka katika Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa iliyoko The Hague, nchini Uholanzi.

Nafasi hiyo ambayo kwa sasa inashikiliwa na Luis Moreno-Ocampo itakuwa wazi hapo mwakani baada ya Bw Ocampo kumaliza kipindi chake cha utumishi wa miaka tisa mwakani.

Kwa mujibu wa shirika la habari la AF, wagombea wengine ni pamoja na Naibu Mwendesha Mashtaka wa sasa Fatou Bensouda wa Gambia, ambaye wengi wanamwona kuwa analeta ushindani mkali.

Anaungwa mkono na Umoja wa Afrika ambao mara nyingi umemkosoa Moreno-Ocampo kwa kufungua uchunguzi wa mataifa ya Afrika pekee.

Katika orodha hiyo pia yupo Andrew Cayley, mwendesha mashtaka mwenza katika mahakama maalum ya Khmer Rouge nchini Cambodia anayetokea Uingereza.

Mwingine ni Robert Petit, ambaye ni mshauri kuhusu uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita katika Kitengo cha Mahakama nchini Canada.

Kamati ya iliyoundwa na nchi wanachama wa mahakama hayo awali ilikuwa na orodha ya majina 52 ya wagombea walioomba kupendekezwa katika nafasi hiyo ya juu. Kamati hiyo iliwahoji wanane kabla ya kupata wagombea wanne.

Kwa mujibu wa Kamati hiyo ‘

Wote wana uzoefu mkubwa katika kuendesha kesi za kimataifa.
Wasifu wa Wagombwa

Jaji Othman ameshika nafasi muhimu mbalimbali za uandamizi katika mfumo wa sheria nchini Tanzania na alikuwa mwendesha mashtaka mkuu katika mahakama maalum ya mauaji ya Rwanda na pia mwendesha mashtaka katika Utawala wa Mpito wa Umoja wa Mataifa katika Timor Mashariki.

Kabla ya kujiunga na mahakama maalum ya Khmer Rouge , Bw Cayley alikuwa mwendesha mashataka mshauri mwandamizi wa ICC, Wakili wa Utetezi katika mahakama maalum za vita vya Sierra Leone na Yugoslavia na pia mwendehsa mashtaka katika mahakama ya Yugoslavia.

Petit alikuwa wakili mwandamizi katika kesi kwenye Mahakama ya Sierra Leone, afisa wa sheria katika mahakama maalum ya Rwanda na mshauri wa sheria kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Kosovo.

Bensouda ni waziri wa zamani wa sheria nchini Gambia ambaye pia aliwahi kufanya kazi kama mshauri mwandamizi wa sheria na wakili katika kesi kwenye Mahakama maalum ya Rwanda.

"Ni orodha nzito kabisa," Alisema Param-Preet Singh, Mshauri Mwandamizi katika kitengo kinachoshughulikia Haki za Binadamu cha Human Rights Watch's International Justice Program.

MY TAKE; JAMAA KACHAGULIWA JUZ NA JK, AMEGUNDUA UONGOZI WA MAGAMBA NI MCHAFUUUUUUUUHHH, LOH
 
namuombea afanikiwe ila aniahidi kuwa atamfikia kikwete mbele ya sheria juu ya vifo vinavyofanywa na serikali juu ya wananchi
Awakamate viongozi wa nato kwa mauaji ya watu kwa mwamvuli wa kutafuta demokrasia na kupindua serikali za kiafrika kwa mabomu
 
Hivi huyu Jaji mkuu Omar Chande amewahi kuifanyia nini cha kujivunia Tanzania?
kama The late Jaji Nyalali (Multi party democracy), The Late Jaji Lungakingira (Independent
candidate) etc.

Orodhesheni mambo mawili ya kupigiwa mfano aliyoifanyia nchi hii?
 
Halafu watu walisema JK eti amempendelea kumteua, kubalini tu Tanzania vichwa tunavyo ili hatuvithamini kwa wivu wetu wa kike ! watu wenye akili zao wamemuona mpaka anafaa kumrithi Ocampo !

Waombe radhi wanawake
 
Hivi huyu Jaji mkuu Omar Chande amewahi kuifanyia nini cha kujivunia Tanzania?
kama The late Jaji Nyalali (Multi party democracy), The Late Jaji Lungakingira (Independent
candidate) etc.

Orodhesheni mambo mawili ya kupigiwa mfano aliyoifanyia nchi hii?

Inaonekana kabisa jamaa ana uwezo wa kushika nafasi hiyo. Lakini binafsi simuungi mkono kwa kuwa tangu aingie kwenye ofisi ya CJ hajafanya lolote la maana. Ukichukulia kuwa yeye ana experience kubwa na ya nje ya judicially system ya Tanzania alitakiwa alete mabadiliko makubwa ndani ya miezi sita. Badala yake jamaa inaelekea anajitengenezea kapesheni kake tu.

hata hivyo, nionavyo mimi hiyo post haimfai mwafrica kwa ajili ya political pressure za madictator wa Africa!! I can imagine huyo Judge Chande anatangaza kumkamata Mugabe,.......!!! Can't see that happening at least for now!!!
 
namuombea afanikiwe ila aniahidi kuwa atamfikia kikwete mbele ya sheria juu ya vifo vinavyofanywa na serikali juu ya wananchi
Awakamate viongozi wa nato kwa mauaji ya watu kwa mwamvuli wa kutafuta demokrasia na kupindua serikali za kiafrika kwa mabomu

ahadi zako hazitekelezeki.
 
Watanzania bwana mbona hatuna uzalendo? the guy desrves someni CV yake mtajua amefanya kazi gani na nchi gani kabla hajawa jaji mkuu.
He is one of the best judges in the country someni baadhi ya decisions zake ndio mtamwelewa.Kuwa chief prosecutor wa ICC ni kazi ngumu
kwake yeye anaimudu na ana uzoefu wa sheria za kimataifa nk.
.acheni hizo tuwe wazalendo kama wakenya

Uzalendo?
 
ocampo wewe umemuona wa maana eeh?

Na eti tuna vichwa! Vichwa gani hivyo tulivyonavyo? Vya panzi?
jambo la ajabu na kusikitisha. Ina maana hata wewe mwenyewe hujithamini katika maeneo yako unayoshughulika nayo. It is so sad !!!!!!!!
 
Ameshindwa kufanya lolote Vurugu za wazi Igunga!

Ni kweli jamaa ana CV kubwa sana,lakini amefanya lipi la kukumbukwa kwa watanzania baada ya kuwea CJ na kabla? Kuna anayejua msimamo wake kuhusiana na suala la mgombea binafsi? Lazima watz tujifunze kuwapima watu kwa matendo yao na sio CV zao tu. Kumbe hatujajifunza kutokana na uchaguzi mkuu 2005!!?
 
Nakutakia kila la heri ingawa ujawatendea haki na usawa watanzania kwa kukandamiza haki za wanyonge na kuwa kibaraka wa serikali

Nakuunga mkono sababu huu Mtanzania lakini CJ CHANDE ni mtu mnafiki sana
 
CJ Chande alipoteuliwa watu walisema mara ohhh JK mdini, mara JK anateua vyeo kindugu haya ICC nako kuna udini au upendeleo? Tanzania bwana matatizo tu. Nenda huko mzee Chande achana na CJ ya Tanzania shida tupu na kero!!!

Kwani amepata, amekua shortlisted tu.Aende wapi kwani ameshapata kazi?.Punguza hasira na papara
 
Tanzanian CJ in line to succeed Ocampo

By PETER LEFTIE
Posted Tuesday, October 25 2011 at 18:20

Tanzania’s Chief Justice Mohamed Chande Othman may be the man to prosecute the six Kenyans accused of bearing the greatest responsibility for the post election violence.
He is among four people seeking to succeed outgoing ICC Prosecutor Luis Moreno Ocampo.
Mr Chande is among the four candidates shortlisted by the ICC Search Committee in line to succeed Mr Moreno-Ocampo mid next year.
The new prosecutor will be elected by the Assembly of State Parties to the Rome Statute at its next meeting to be held starting December 12 but will officially assume office in July 2012.
Also in the race to succeed to Mr Ocampo is his current deputy, Gambian Fatou Bensouda, Mr Andrew T Cayley (UK) and Canadian Robert Petit.
The Ocampo Six are deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta, Eldoret North MP William Ruto, Public Service head Francis Muthaura, Tinderet MP Henry Kosgey, former Police commissioner Hussein Ali and radio presenter Joshua Sang.
The pre-trial chamber of the ICC is set to rule on whether to confirm or drop the charges facing them between December and January.
Mr Cayley is the International Co-Prosecutor of the Extraordinary Chambers in the Courts of Cambodia (ECCC) while Mr Petit is currently the Counsel to the Crimes Against Humanity and War Crimes Sections of the Department of Justice in his home country.
The four were picked from a pool of 52 candidates who applied for the job. From the 52 names on the candidates list, the Search Committee interviewed only eight candidates before settling on the four.
“In presenting this shortlist, the Search Committee is confident that each of the candidates identified below not only meets the formal eligibility criteria of the Rome Statute but also has the professional experience and expertise, and the necessary personal qualities, to perform the role of the next ICC Prosecutor to the highest standard,” said the President of the Assembly of State Parties, Christian Wenaweser who acted as the coordinator of the search committee..

Tanzanian CJ in line to succeed Ocampo*- Politics*|nation.co.ke

MY TAKE
How will the case affect the relations between Kenya and Tanzania in EAC knowing that the Ocampo 6 are heavy weights in Kenya's Political inner cycle and being aware that Omary Chande will be coming straight from his CJ position (under JK directives) which he will have to quit if elected the prosecutor of PEV suspects!

Hawa jamaa lazima watakuwa wadini tu!!! yaani wameweza hata kushotlisti!

Hii inaonyesha JK was right to appoint him as Chief Justice..hongera Jaji Chande
 
Kuna ile makala ya Koffi Anan ya wiki iliyopita alitoa Mwongozo wenye staha katika mchakato wa kumpata Prosecutor wa ICC ziada ya Kanuni zinazotakiwa
 
Back
Top Bottom