Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,894
- 31,106
Wanajamvi,
Kama ulibahatika kusikiliza hotuba ya Mhe Tundu Lissu mjengoni ungebaini jambo moja muhimu sana kwamba kama taifa tumechezea karibu kila eneo bahati mbaya hata sekta ya sheria nayo haikuachwa nyuma wapo majaji kibao ambao hawana sifa wala uwezo wa kushika wadhifa wa ujaji.Jaji aliyeamua kesi ya Lema anaangukia kundi la majaji wabovu wasiostahili kuendelea na utumishi wa mahakama.
Ni matumani yangi katiba mpya italiangazia suala la majaji kuteuliwa na Rais na badala yake majaji wafuate utarabu wa kuomba kazi kama inavyofanyika Kenya.