Jaji Mbarouk apelekwa uingereza kupata mafunzo

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,515
20,005
Mahakama ya Tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni; January Msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni Stella Mugasha na Shaaban Lila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 London Uingereza.

SOURCE:MAJIRA,12.09.2012
 
They should have these ETHICS at their tongue tips since walipokua chuo. Au hakuna kitu hii at that level? Hapa ndo utagundua Wahasibu wamejijenga sana hasa katika ETHICS zao coz ndo miongozo.
 
Jamani mimi naomba kuuliza tu, hivi kama mtu aliferi form four baadaye akatengeneza cheti cha kijanja mpaka akapata Degree kihalali, hivi huyu kesi yake ikoje? naomba jibu kabla sijalipuwa bomu.

N:B, Mkumbuke miaka ya nyuma ulikuwa unaweza kufoji cheti cha form four na kuendelea na Elimu ya juu bila kukalili darasa, kwahiyo sitalajii swali kuhusu hilo.
 
mahakama ya tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni;january msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni stella mugasha na shaabanlila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 london uingereza.

SOURCE:MAJIRA,12.09.2012

Will they manage to teach these old dogs new tricks?
 
Jamani mimi naomba kuuliza tu, hivi kama mtu aliferi form four baadaye akatengeneza cheti cha kijanja mpaka akapata Degree kihalali, hivi huyu kesi yake ikoje? naomba jibu kabla sijalipuwa bomu.

N:B, Mkumbuke miaka ya nyuma ulikuwa unaweza kufoji cheti cha form four na kuendelea na Elimu ya juu bila kukalili darasa, kwahiyo sitalajii swali kuhusu hilo.

Kuna jaji alifukuzwa uganda kwa kuingia chuo cha makerere kinamna.

Ku
 
mahakama ya tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni;january msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni stella mugasha na shaabanlila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 london uingereza.

SOURCE:MAJIRA,12.09.2012

Rekebisha, Mbarouk sio jaji! au si yule wa Lisu!
 
Deo big up kwa ilo dokezo New tricks to an old dog its a total failure
Kwa katiba mpya majudge wawe wana apply kama vyeo vingine ili wawe fair bothways
 
Mahakama ya Tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni; January Msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni Stella Mugasha na Shaaban Lila wa mahakama kuu
mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 London Uingereza.

SOURCE:MAJIRA,12.09.2012

kwa nini wasiwapeleke kule Chuo Uongozi wa Mahakama cha Lushoto, Tanga ambapo wangepigwa msasa mzuri tu wa wiki moja kwa kutumia wataalam wetu kama kina majaji waliobobea wastaafu na hata kumwalika Mh. Tundu Lissu, Prof. Safari n.h badala ya kwenda wiki moja huko RIPA , Uingereza CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA - LUSHOTO kwa ajili ya customised - training Strategic and operational management, organisational development and capacity building huku RIPA hawajui mahitaji yetu watanzania.
 
Back
Top Bottom