Yale yale ya wale wale....msini-quote vibaya!!
Hivi hapa hakuna conflict of Interests... AU NI MIMI TU, NA MAWAZO YANGU YA KIZAMANI.......??????
Vyote!Hivi conflicts of interests ni kwa CJ kuwa muislamu au kuwa na ndugu TISS jiachieni tu?
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VHABA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.
Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 DIsemba, 2010.
Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa Sudan, hadi mwezi Agosti 2011.
Jaji Othman alizaliwa tarehe 1 Januari, 1952, ana shahada ya kwanza ya Sheria (LLB) ya Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na Shahada ya Uzamili (MA) kutoka katika Chuo Kikuu cha Webster, Geneva-Uswisi.
Amewahi kuwa Makamu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Rwanda huko Arusha na amewahi kushika nafasi sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali huko Timor Mashariki.
Jaji Othman pia, amewahi kufanya kazi ndani na nje ya nchi katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa kama vile Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) na Shirika la Msalaba Mwekundu.
Jaji Othman ataapishwa kesho tarehe 27 Disemba, 2010 katika viwanja vya Ikulu saa 4:00 asubuhi.
Imetolewa na Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi
Ikulu
Dar es Salaam
26 Disemba, 2010
Sijakataa kwamba ni ndugu. lakini undugu wao hauhusiani na kazi watakazofanya. na wala hakuna ushahidi uliowekwa hapa kwamba eti Othmani wa TISS ndiye aliyechagiza kuteuliwa kwa huyu Ndg yake New CJ. kama unao ushahidi weka hapa
kikwete ndiyo anachochea udini angalia sasa raisi makamu wake waziri wa ulinzi,mambo ya ndani,waziri wa fedha watu wote wa dini moja aoni aibu
A conflict of interest (COI) occurs when an individual or organization is involved in multiple interests, one of which could possibly corrupt the motivation for an act in the other.Kuna wale wanaodai kua huyu bwana ana uhusiano na Ndugu Othman again wanashindwa kutetea hoja yao ok kama mtu akiwa na uhusiano na kiongozi wa serikala lakin akawa na sifa za kutosha kwa kazi fulani hafai kuchaguliwa?
Ulitaka mteuliwa awe Jaji PETER JOHN JOSEPH?maana kina Othman hawajasoma
Sijui naye ni mchakachuaji?
kikwete ndiyo anachochea udini angalia sasa raisi makamu wake waziri wa ulinzi,mambo ya ndani,waziri wa fedha watu wote wa dini moja aoni aibu