Jaji Joseph Sinde WARIOBA----30/11/2005

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
tuvushe kwa amani-- ya 1984 dodoma yasijirudie.

eleza yote bila hofu

1. anzia na siku waliyonilaza getini kwa mwalimu pale msasani.

2. dr salim ahmed salim aapishwe kabla ya saa saba leo--01/04/2011---

3. Rwekaza mkandala aonyeshe barua yake ya kuomba umakamu mkuu wa chuo kikuu cha dar es salaam na barua ya kumwita kwenye usaili.

'2. DR SALIM AHMED SALIM AAPISHWE KABLA YA SAA SABA LEO--01/04/2011---'

ndio chaguo lenu la mwenye kiti wa cahama mkimtimua JK???

TuVUSHE KWA AMANI-- YA 1984 DODOMA YASIJIRUDIE.

ELEZA YOTE BILA HOFU

1. ANZIA NA SIKU WALIYONILAZA GETINI KWA MWALIMU PALE MSASANI.

2. DR SALIM AHMED SALIM AAPISHWE KABLA YA SAA SABA LEO--01/04/2011---

3. RWEKAZA MKANDALA AONYESHE BARUA YAKE YA KUOMBA UMAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA BARUA YA KUMWITA KWENYE USAILI.

Jana niliuliza humu lakini sikupata jibu labda leo nitapata jbu....................... Hivi vigezo gani vinatumika kuwa JF Premium member???

Maana Premium member kama huyu anamenichia maswali mengi kuliko majibu!!

unamuuliza nani? Kuna kitu kinaitwa ''Changia Mkono mtupu haulambwi'' ukifanya hivyo utapata jibu la swali lako.

Sasa wewe huu ni mchango wako wenye hii thread?? Inaelekea uko gizani tu kama sisi!!!

Jaman wadau wa jf hivi huyu jamaa ni mwenzetu kwel au katoroka pale milembe? Jana alituletea upupu kuhusu kufungwa baloz za marekan. Leo tena katuletea huu upupu usio na kichwa wala miguu.. Naombeni mnijuze kuwa nyie mnamuelewa vp maana mi nimemfikiria cjampatia picha...

duh hapa maswali ni mengi kabla ya kuchangia...
Kulitokea nini hapo 1984 ambacho we hutaki kijirudie?
Ilikuwaje hadi we ukalazwa getini??na kwa nini aanzie hapo uliolazwa wewe??
Wewe ni nani mpaka ukumbukwe na Warioba??
Dk Salim aapiswe kama nani??na kwanini aapishwe yy badala ya mtu mwingine??

Nimeona wewe ni mkongwe-Premium lakini hapa bado sijakusoma, hujatulia bali umekurupuka, najua kuna smthng good behind the story lakini kuileta hapa jamvini inabidi teeleweshwe tujue na tuchangie!!

Jana niliuliza humu lakini sikupata jibu labda leo nitapata jbu....................... Hivi vigezo gani vinatumika kuwa JF Premium member???

Maana Premium member kama huyu anamenichia maswali mengi kuliko majibu!!
U-Premium wa huyu jamaa sio kwa kuchangia kamawewe unavyotaka tuamini, soma status yake..huyu ni kati ya wale member wa mwanzo kabisa kuingia humu wakati ule wa jambo forums....wengi kama sio wote waliojiunga na forum hii mwaka 2006 ni Premium members.

duh hapa maswali ni mengi kabla ya kuchangia...
Kulitokea nini hapo 1984 ambacho we hutaki kijirudie?
Ilikuwaje hadi we ukalazwa getini??na kwa nini aanzie hapo uliolazwa wewe??
Wewe ni nani mpaka ukumbukwe na Warioba??
Dk Salim aapiswe kama nani??na kwanini aapishwe yy badala ya mtu mwingine??

Nimeona wewe ni mkongwe-Premium lakini hapa bado sijakusoma, hujatulia bali umekurupuka, najua kuna smthng good behind the story lakini kuileta hapa jamvini inabidi teeleweshwe tujue na tuchangie!!

Endelea kusubiri.

Back
Top Bottom