Jaji Frederick Werema awakatia simu Sauti ya Amerika

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.

Bonyeza hapa chini kusikiliza mahojiano yalivokuwa.

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=211742&d=1418827805[/JFMP3]
 
Attachments

  • AUD-20141217-WA0008.mp3
    631.8 KB · Views: 6,141
Hiyo ndio tatizo la kulewa madaraka, kwa maneno mengine hakuwa akijua wala kudhani kwamba cheo ni dhamana.
 
Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.

Bonyeza hapa chini kusikiliza mahojiano yalivokuwa.

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=211742&d=1418827805[/JFMP3]
​Ha ha ha ha jamaa arrogant kishenzi na hii ni tabia ya mtu mwizi.
 
tunataka hela zetu. siku yao ipo tu hata ghadafi na wenzake walikuwa na viburi hivi hivi.. ipo siku watasaga meno hata kama sio wao vizazi vyao vitalia na kusaga meno kwa hasira za wananchi
 
Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.

Bonyeza hapa chini kusikiliza mahojiano yalivokuwa.

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=211742&d=1418827805[/JFMP3]
Hawa wezi hawana cha kusema. Wangekuwa mtaani hawa ni kipigo tu.
 
Kawaza mbali,angeulizwa kuhusu escrow angejibu nini?
Nawaza conversation ingekuwa hivi.
VOA:unatuhumiwa kwamba we ni mmojawapo kwenye wanaotuhumiwa sakata la escrow,ni kweli?
Werema:Si kweli
VOA:sasa kama si kweli kwanini ujiuzulu?
werema:bi bi bi mteja unayempigia yupo busy kwa sasa(kitu ingekuwa kile kile)
 
Kwa ufisadi wanaoufanya walistahili kupewa hukumu ya wahujumu uchumi wa china
Prof. Wa kichina yeye mafisadi wake anawapongeza pale wanapobainika na Rafiki yake xxxyiiii chiiiii (sio jina halisi) akiwakamata anawatia kitanzi. Halafu bado wanakaa na kushauriana mikataba kibao itakayotutoa ktk umasikini. Prof. Wetu ameahindwa kuchanganya na zake kwa nini besti yake anawatia kitanzi?
 
Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.

Bonyeza hapa chini kusikiliza mahojiano yalivokuwa.

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=211742&d=1418827805[/JFMP3]

Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali tangu enzi ya Chenge na sasa Werema imeshiriki kuwafisi watanzania bila aibu.
Ipo siku sheria itachukua mkondo wake
 
Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.

Bonyeza hapa chini kusikiliza mahojiano yalivokuwa.

[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=211742&d=1418827805[/JFMP3]

You Can yake the man out of the bush but you Can not take the bush out of the man, crude, uncultured, uncivilised, uncut and uncooth! Such was Tanzania Government' chief legal adviser!! OMG, SOS, GST
 
Watu wana sahau kuwa za mwizi ni arobaini na hazijawahi kuzidi kila mwizi huumbuka hapa duniani amna mwizi ambaye amewahi kufa bila kuumbuka ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga
 
Muraaaa.. Atakata kichwa cha mtu huyo jamani..
kitambi chote kile anaweza kukata kichwa cha mtu kweli! Unakuwa mbabe wakati body structure hovyo na legelege. Kwanza kafulila ni healthy. Ama kibongo bongo kitambi kwa mwanaume ndio afya? Bring back our money!
 
Hiki ndio kiburi cha viongozi tulionao hapa nchini, ni aibu yanashindwa hata kuficha upumbavu wao usivuke mipaka ya nchi hii waliyoamua kuifanya watakavyo wao. Aibu kwa taifa kuwa na mwanasheria kama huyu.
 
kitambi chote kile anaweza kukata kichwa cha mtu kweli! Unakuwa mbabe wakati body structure hovyo na legelege. Kwanza kafulila ni healthy. Ama kibongo bongo kitambi kwa mwanaume ndio afya? Bring back our money!

Ha ha ha ha.. Ati alitaka mtu mbili na Kafulila lol.. Huyu muraa anawatafutia watu kesi..
 
Back
Top Bottom