Jaji Frederick Mwita Werema ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa serikali

Huyu Werema anatokea kwa akina Chacha Wangwe, bila shaka atakuwa ana misimamo!
 
Something is very wrong or right with this picture. Aidha baraza la mawaziri litavunjwa na Membe kuukwaa U-PM au bungeni kuna mtikisiko unakuja.

Uwezekano wa tatu unanitisha. Ill give it 14 days

Kwanini Membe aukwae u - PM? Ina maana Pinda kashindwa kazi? Au kwa sababu kila siku yuko bize kushangaa magari ya kifahari na suti badala ya kuagiza mabadiliko?

JK atakuwa katoa mpya kuvunja Baraza la Mawaziri mara 2 ndani ya kipindi cha miaka mitano. Nahisi kama Mwinyi naye aliwahi kufanya hivyo na sitaki kulihusisha hili moja kwa moja na uongozi wa kubebana na hivyo kushindwa kutekeleza majukumu ya serikali ipasavyo!!!

Kwa kifupi nchi imepoteza kabisa dira na mwelekeo. Kabisa !
 
Wakunyuti
user_online.gif

Wakunyuti Comrade Edit
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Mon Feb 2008
Location: Kwakunyuti
Posts: 360
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 22
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: Jaji Frederick Mwita Werema ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa serikali
tatizo Pinda maneno mengi...alizania uwaziri mkuu unahitaji tu maneno yenye busara na matamu kwa wananchi na watendaji which is very wrong, uwazi mkuu ni vitendo na vinavyoonekana wazi wazi...natamani angeiga style ya Lowasa hata punje tu.
__________________
Bad officials are elected by good citizens who do not vote


Duh! Invisible, What happened to my ''THANKED'' and THANKS'' ????
 
Back
Top Bottom