Jairo Hana Kesi ya Kujibu?

Sidhani kama hii ya Jairo itakuwa mpya katika siasa za Tanzania ya uchakachuaji. Maana kila mwenye utashi wa kujua mema na mabaya atajua tu kwamba biashara hii ya kifisadi chini ya uongozi usiokuwa na jipya ikesi takuwa imekwisha. Hakuna hasiyejua sheria zisivyokuwa na meno kwa walio nacho ( Mafisadi). Si tulimsikia mkuu kwa nchi akiwabembeleza mafisadi kurudisha fedha na ata ile kuwataja tu hatukuambiwa.Nionavyo mimi
Kizazi kitulivu kinaendelea kupungua na uvumilivu unazidi kupungu na hizi ni dalili nzuri za usiku kwisha na mchana yenye matumaini karibu.
Hipo siku isiyokuwa na jina nchi hii nzuri itakombolewa toka ukoloni wa kifikira CCM la muhimu tuendeleee kuwaunga mkono wapiganaji wa dhati na kuzisoma mbinu zao dhalimu.
Naamini siku moja tutafika maana mambo mazuri yanahitaji uvumilivu na kujitoa mwanga..TUTAFIKA SIKU SI NYINGU.
UMASIKINI WA WATANZANIA MCHAWI WETU NI CCM NA MFUMO WAKE DHALIMU.
 
Sina shaka vuvuvela amevuta bangi la tabora na kuleta thread ambayo imekosa mwelekeo. Kwani huyu Jairo remember yuko kwenye kikaago ambacho mm na ww tusubiri hukumu ambayo atapewa kazi kama balozi the end of the story.
 
Back
Top Bottom