Jairo hana hatia-tume

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Hilo ndilo utegemee siku ya kesho na hiyo ilikuwa ni sheria ya wizara sema aikuwa inaratibiwa mara kwa mara na waziri atakubali hiyo na mwisho wasivyo na dabu wakiongozwa na bi kidude wanaweza kuulizwa wanaoipinga tume kimyaaa wanaoikubali ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo na hiyo ni byebye ya jairo mwisho tume watashauri kurudi kwa jairo inategemea na rais atakavyoamua wao walichotumwa wamemaliza hapo ndipo ..nenda kwenye acc zao ukacheke
 
Kama mliona matarumbeta siku anarudishwa kesho tarajia helikopta huku wazee wa nishati wakijiliwaza pale rosegarden then trinity
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hilo ndilo utegemee siku ya kesho na hiyo ilikuwa ni sheria ya wizara sema aikuwa inaratibiwa mara kwa mara na waziri atakubali hiyo na mwisho wasivyo na dabu wakiongozwa na bi kidude wanaweza kuulizwa wanaoipinga tume kimyaaa wanaoikubali ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo na hiyo ni byebye ya jairo mwisho tume watashauri kurudi kwa jairo inategemea na rais atakavyoamua wao walichotumwa wamemaliza hapo ndipo ..nenda kwenye acc zao ukacheke

Sio kesho ni Ijumaa ya wiki ijayo
 
Back
Top Bottom