Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!
ndio maana nawashauri watanzania wenzangu tumchague edward lowassa awe raisi 2015 maana ashatosheka anaweza kutukomboa watanzania.amekwisha kutubu la sivyo tutaendelea kulalamika tu.mawazo yangu
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!

Wanakwenda magogoni? Bila shaka wamekaribishwa kunywa gahawa kidogo na Luhanjo.
Nadhani wanakwenda kupongezwa kwa kazi nzuri waliyofanya so far, pesa zimeliwa na umeme hakuna.
Wale wabunge waliosema jamaa kawaita ze komedi sijui watakuwa wanajisikiaje.
 
nadhani hii kwenye red umeiweka vizuri na inabidi kutumia (kuwaita) hivi katika hiki kipindi cha mpito kuelekea mapindizi/ukombozi kamili.
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!
 
ndio maana nawashauri watanzania wenzangu tumchague edward lowassa awe raisi 2015 maana ashatosheka anaweza kutukomboa watanzania.amekwisha kutubu la sivyo tutaendelea kulalamika tu.mawazo yangu

Kwa lowasa hapa mkuu, mwizi ni mwizi tu. Na huu mgao wa giza unavyoendelea kutuumiza, tuazidi kumkumbuka kwa maamuzi yake magumu na yenye hasara kwa watanzania wengi.

Tunataka mtu asiyekuwa na doa la ufisadi wala rushwa. Si lazima awe tajiri ndiyo awe mwadilifu.

Na mtu huyo lazima atoke chama kingine, kwa magamba hata ukimuweka nani, baada ya muda mfupi naye atakuwa fisadi.
 
ndio maana nawashauri watanzania wenzangu tumchague edward lowassa awe raisi 2015 maana ashatosheka anaweza kutukomboa watanzania.amekwisha kutubu la sivyo tutaendelea kulalamika tu.mawazo yangu

Unamjua vizuri huyo E L au unamsikia atosheke nanini?
 
inaelekea jairo ndio mtaji wa mafisadi wote..huenda ana siri nyingi mno huyu jamaa asije kuwa kama daudi balali kwenye mamno ya EPA...
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!
Wezi gani hao, ni mahakama gani iliyowatia hatiani?
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!

Kweli JF kiboko! Ukisikia 'LIIIIIIIIVE news basi JF wanaongoza!
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!! Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!

Wewe kama nani wa kutuambia sisi nchi imeisha? Unaijuwa nchi hii ilipotoka? Na ilipo sasa?

Kama ni wezi na ushahidi unao unangoja nini kwenda mahakamani? Au polisi au takukuru? Kama umeshindwa yote hayo bi wewe ndie mwizi wa fadhila.
 
David K. Jairo is the next Chief Secretary FYI!!!

The old man is stepping down soon and DKJ will take his place, haya yote kwao ni makelele ya chura kwenye dimbwi la maji!

Tanzania zaidi ya uijuavyo!
 
Wewe kama nani wa kutuambia sisi nchi imeisha? Unaijuwa nchi hii ilipotoka? Na ilipo sasa?

Kama ni wezi na ushahidi unao unangoja nini kwenda mahakamani? Au polisi au takukuru? Kama umeshindwa yote hayo bi wewe ndie mwizi wa fadhila.

Mkuu, natanguliza heshima then yafuatayo kama sijakosea:
1: UONGOZI ni dhamana. Dhamana hiyo inatolewa na wananchi.

2: VIONGOZI waliopo madarakani hawatufanyii fadhila. Stahili yao by definition ni malipo sahihi kutokana na kazi wanazofanya. WANACHOFANYA kikazi (na kama kweli kuna la kujivunia hapa) siyo FADHILA kwa wananchi wa Tanzania bali ni majukumu ya dhamana waliyopewa kwa kazi walizo-OMBA. Narudia, MAJUKUMU yao na UTENDAJI wao (uanaotakiwa) siyo FADHILA (FAVOUR) kwa umma uliowapa dhaman ya uongozi huo hata siku moja.

3: Process inayohusika nchi ilikotokea na ilipo sasa inamhusu kila Mtanzania. Nakumbuka maneno ya JFK (RIP), ask not what America can do for you but what you can do for America! Ndiyo, na VIONGOZI wanapaswa kuulizwa wameifanyia nini TANZANIA. That aint no favor!
 
Ole Sendeka kaponda sana kasema haiwezekani serikali ikawa inachangishana fedha kama kwenye harusi....Lazima Jairo achunguzwe ili kulinda heshima ya Waziri Mkuu, Wabunge pamoja na bunge letu tukufu. Amesema kila wizara hupewa fungu la maandalizi ya bajeti na hata watumishi wawizara waliokuja bungeni Dodoma wamekuja kwa magari na mafuta ya serikali pamoja na kulipwa stahiki zote na serikali na si za fedha za pembeni.
 
Jairo ni zaidi ya tumjuavyo... Pinda alishasema mafisadi ukiwagusa uchumi wa nchi utateteraka... Huyu jairo hawezi kuguswa hata siku moja
 
Magwanda mmekosa ya kuandika. Kama uko jikoni badala ya kutujuza mitambo inayoendelea kufungwa Ubungo imefikia wapi, mitambo ambayo ipo njiani inategemewa kuwasili lini, wewe unaongelea mambo ya watu wamevaa nini, wanakwenda wapi, na upuuzi mwingine.

Kwani Ngeleja na Jairo ndio mara yao ya kwanza kwenda Ikulu?

Nawashangaa sana kuwa sera yanu ni majungu.
 
Back
Top Bottom