Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Status
Not open for further replies.
Ngeleja na Malima wangefuta mkondo wa kujiuzulu lingekuwa jambo la maana.
 
nchi hii bwana, alitakiwa afukuzwe kazi, ashitakiwe kwa rushwa, so if this is the case jamaa anapata haki zake zote. kwa hasira niliyonayo sasa naenda kunywa maji ya betri bora nife kuliko kuishi kwa matumaini ambayo nina uhakika hayata kaa yapatikane kwa style hii ya utamaduni wa kulindana.
 
Kujiuzuru kwa Jairo peke yake haitoshi Malima na bosi wake Ngeleja pamoja na Mkulo na vibosile wengine wa hazina nao wafuate nyayo za Jairo halafu mziki uanziwe hapo kuchezwa ili kieleweke tujue bits zilitungwa na nani mashairi nani aliandika, studio gani walikwenda na produza ni nani hafatu ndipo tuachie singo yote!
 
angeanza Ngeleja ndo ningeona kuna utawala wa haki coz katibu yuko chini yake and huyo ni mgeni tu kwenye hiyo wizara lazima ni maelekezo kutoka kwa m2 mwingine hiyo ngoma bado mbichi. NGELEJA ACHIA HIZO OFA ZA TANESCO KUPEWA UMEME WA BURE
 
Habari kutoka Dodoma zinaarifu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini amejiuzuru Rasmi wadhifa huo

More to follow

Hapa ndipo utakapo gundua hata JK anahusika kwenye ule usanii, haiwezekani mtu wa kufukuzwa kazi eti anasema kajiuzulu. Huu ni usanii mtupu na JK pamoja na ngeleja wanahusika na hii kashfa. Inawezekana jamaa wamemwomba ajiuzulu ili assimwage uGali wa JK na Ngelejja and the rest.

mimi nafikiri kuna haja ya kuwaondoa hawa jamaa madarakani kwa nguvi, kama wanaweza kuchanga 1bilion kwa ajili ya kuhonga kwanini wasizichange za maendeleo?

Nawasubiri wana CCM na Nape katika hili wanasemaje?
 
Baraza zima la mawaziri livunjwa na bajeti irejewe ili kuweka heshima ya nchi katika mstari sawia.haiwezekani baraza la mawaziri libariki bajeti ya wizara ya Madini na nishati halafu tuseme mtu mmoja tu awajibike hakuna kitu cha aina hiyo wawajibike wote
 
Hii taarifa kama vile haijitoshelezi. Ghost weka mtiriliko wa habari yako na kama umebuni buni tu useme pia
 
Ngeleja na malima nao pia wajiuzulu...kwani wao ndo walio mpa baraka za kuomba rushwa..NGELEJA na MALIMA WAJIUZULU PIA!!!

Mkulo na sub ordinate wake nao wajiuzulu kwani kazi imewashinda; wapishe ili bajeti ipangwe upya.

Kimantiki bajeti ya wizara moja ikikwama, na bajeti ya wizara ya fedha pia imekwama kwa vile masahihisho yeyote yatakayofanywa lazima yaguse bajeti nzima ya nchi ambayo iko chini ya wizara ya fedha.
 
Pambafu ina maana haya ndio maagizo aliyotoa JK kwenda kwa pinda kama alivyosema jana kuwa kapewa maagizo mapya. Maana ya kujiuzulu ni kwamba atapewa mafao yake yote lakini kama angefukuzwa asingepata chochote. Na hii ni ishara pia kwamba hili nalo litafunikwa na kupotelea mbali kama mengine mengi yalivyofanywa siku zilizopita. haya watanzania wenzangu mimi naona sasa inabidi wananchi tuamue tuamke na tuchoke kuhadaiwa kama watoto.
Habari kutoka Dodoma zinaarifu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini amejiuzuru Rasmi wadhifa huo

More to follow
 
tatizo ccm ni chama cha mapinduzi hawafikirii demokrasia wala maendeleo. Kila wakati ni kufikiri kupindua tu, wakiona dili lao halijaenda kama walivyofikiri
immediate soln ni kupindua. Tumechoshwa na siasa uchwara wakuu.
 
Update:
Habari ambazo nazipata hapa katika ofisi za Mjengo ni kuwa Anawajibika kwa Rais. Hold on huenda PM akatoa tamko muda si mrefu. Ila kashawasilisha barua ya kujiuzuru. Tunatafuta maarifa ya kujua content.

SOURCE NI GHOST RYDER No More question Wakuu, Acheni tufanye kazi
 
Update:Habari ambazo nazipata hapa katika ofisi za Mjengo ni kuwa Anawajibika kwa Rais. Hold on huenda PM akatoa tamko muda si mrefu. Ila kashawasilisha barua ya kujiuzuru. Tunatafuta maarifa ya kujua content.SOURCE NI GHOST RYDER No More question Wakuu, Acheni tufanye kazi
poa wakuu
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom