Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

Mapenzi kiti cha basi,ukinyanyuka anakaa mwingine,Jaffarai tulia wakubwa wale maana hata Shyrose hakuwa size yako.
 
Nimesoma katika wall ya jaffarai kwenye facebook, kwa kweli naona jamaa hajatumia busara kumuita mtu ambaye alikuwa mpenzi wako kicheche mzee, hata kama amekufanyia makosa, achana nae kistaarabu maana unapomponda hata wewe mwenyewe hutaeleweka, ilikuwaje mkawa wapenzi??

Hiki ndo alichoandika:

nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... Ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! Nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... Ni aibu kubwa sana
 
Naona hii picha inampa Jaffaray usongo!!!!

View attachment 22019

na hizi je?

f.jpg View attachment 22023
t.jpg d.jpg

jaffar kifua chake kidogo, kuoa au kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye networks kana huyu lazima uwe na ukomavu wa akili na uvumilivu mkuu sana. vinginevyo unavunja mahusiano kimya kimya. Na shyrose akija na kusema jaffar anaingiza mademu chumbani kwetu...?au hajakomaa akili-bado anawaza kitoto?
 
Anti Virus bado inasumbua, ile issue bado clouz inawatesa, sasa imeamua kutafuta wahuni wamchafue MB
 
ukimegewa tafuta mnyonge na wewe ummegee....hawa ndo mademu wetu wakibongo, leo demu wako kesho anakuwa shemeji yako!
 
Angemjua ni kicheche asingekuwa nae katika mapenzi.....ndo kamjua sasa na kachukua hatua....nafikiri mtu kama Jafarai ana pressure sana kutoka kwa fans wake wa kusema ukweli....na inaumiza kuwa cheated....kila mtu ana namna anayoweza deal na tatizo,he is frustrated na nafikiri kafanya uamuzi mzuri.......
 
Anayeachwaga huwa ndiyo muongeaji!!..Shy atulie kimya ili huyo mtoto aonekane mjinga..
 
Atulize kwanza hasira maana inaonekana msongo wa mawazo unamsumbua,
mbona wakati wako vizuri hakumwita hivyo wala kuanika umri wake?
 
Angemjua ni kicheche asingekuwa nae katika mapenzi.....ndo kamjua sasa na kachukua hatua....nafikiri mtu kama Jafarai ana pressure sana kutoka kwa fans wake wa kusema ukweli....na inaumiza kuwa cheated....kila mtu ana namna anayoweza deal na tatizo,he is frustrated na nafikiri kafanya uamuzi mzuri.......
Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu
 
jamani hii issue ya huyu kijana jafa..yeye aliolewa sasa analia nini? Angekuwa ameoa kweli tungemsaidia, na iwe fundisho vijana wadogo kuwekwa ndani na mimama iliyochoka...mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhh aaaaaiiiibbuuuuu...na hao clouds waache ushambenga wao yatawashinda mbona wenyewe wanakula pesa zetu za malaria..wakome
 
Hao wanajuana wao kwa wao bwana hata kama ni kicheche nafikiri angetumia busara zaidi na kukaa kimya kuliko kuanza kuongelea ishu kama hizo tena public halafu kuzipeleka facebook na unaanza kumtrash mtu

Kabisa, angenyamaza tu.
 
Alikuwa clouds redio kwenye kipindi cha xxl, ameongea utumbo huo huo! Hajui kuwa anajichoresha!
 
Hizo ni hasira za kijinga, kicheche mzee manake nini?? Alivyomchukua hakuona huo uzee wake leo ndo anauona.. Sio ustaarabu hata kidogo kutoa kashfa kwa mtu aliyekuwa mpenzi wako just because mmeachana.. Hawezi kujua kuna leo na kesho.. Halafu sio kazi yake kuanika umri wa mwenzie hadharani.. Loh ameniudhi sana huyu Jaffarai!! Huu ni utoto!! Na kama alikuwa mwanaume kama binti imekula kwake.

Inaelekea kijana kaachwa na ndo maana anabwabwaja!!
 
Angemjua ni kicheche asingekuwa nae katika mapenzi.....ndo kamjua sasa na kachukua hatua....nafikiri mtu kama Jafarai ana pressure sana kutoka kwa fans wake wa kusema ukweli....na inaumiza kuwa cheated....kila mtu ana namna anayoweza deal na tatizo,he is frustrated na nafikiri kafanya uamuzi mzuri.......

Napenda sana busara zako dada nitaomba odiensi uje unipe nahasa zako
 
Mwanamme haliilii kama huyo J, na walivyo Clouds wanaona wamepata mtaji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom