Jacqueline Wolper arudi CCM

Hivi wolper alikuwa na cheo gani chadema nauliza MTU akuwa ata mwenyekiti Wa tawi Wa chama kweli ccm mna shida sana yaani mmeshindwa ata kumshawishi kiongozi yeyote wa chadema ata wa mtaa ambaye alichaguliwa ndani ya uchaguzi wa chama aje Dodoma unawaita kina wolper Na mgana msindai na mpendazoe kweli ccm mmeishiwa
Majizi Chadema wamekimbiwa.


Yani ni majizi hadi mabavicha yanajipiga ngwala na kujiibia yenyewe million 10 za posho!!!!!


Kama ni majizi kiasi hiki wakipewa nchi itakuwaje???
 
Majizi Chadema wamekimbiwa.


Yani ni majizi hadi mabavicha yanajipiga ngwala na kujiibia yenyewe million 10 za posho!!!!!


Kama ni majizi kiasi hiki wakipewa nchi itakuwaje???
Walivyotoka ccm mliwaita makapi.
Leo mapumba yamekua wali unatafuna na kumeza huku machozi yanakutoka kwakuwa hakuna namna nyingine tena.
 
Tena la msingi ni lile la kuona ya kwamba wale watu ambao katika uchaguzi mkuu wa 2015 tuliwaita makamanda na walikuwa tegemeo kubwa la kuiangusha ccm.
Je mbona makamanda wanatoka, kulikoni, nyumba imepoteza mvuto?
Je nyumba imepoteza ari na vugu vugu la vita ambavyo makamanda hawa walokuja kupigana?

Yeah, hayo ndio mambo ya msingi ya kujiuliza. Lakini bahati mbaya makamanda hawataki kujiuliza vitu vigumu.

Ni rahisi sana kulaumu, kubeza na kupeleka lawama kwa watu wengine hata kwa matatizo watu waliyoyasababisha wenyewe. Watu wataishia kusema "njaa mbaya" pale wanachama wanapohamia upande wa pili but hiyo haifuti ukweli kuwa hali sio nzuri upinzani. Inasikitisha....watu wameweka pamba masikioni. Wanayoyasema au kuona wao ndio sahihi, wengine wote wenye mawazo tofauti ni wasaliti au wamenunuliwa au ni kutoka chama tawala au wanaambiwa ni wa kile chama fulani cha yule hasimu wetu yulee (aliyeitwaga majina mabaya yote na kutabiriwa kupotea kisiasa ingawa haikutokea hivyo walivyotaka, kwa sababu tu alitofautoana nao kimtazamo).

Interesting....unfortunatelly, it will just be a mere day dream for one to expect any institutional growth with that kind of mindset and attitude.
 
Msanii nguli wa filamu nchini muda huu katika hafla ya wasanii ya kumuaga Mwenyekiti Mstaafu Mh. Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kurejea CCM.

"Nilipotea kwenda kule, nimeamua kurudi nyumbani".

Karibu nyumbani uungane na wenye akili, maisha na maendeleo yapo huku, kule kuna chuki, fitina, uzandiki, majungu na kundi la majobless wenye roho mbaya.

Karibu nyumbani uonje raha ya utu.
Ng'ombe aliyepotea,akaenda kukatwa mkia akirejea zizini ng'ombe wenzake lazima wamuone tofauti. Kwamba huyu kakatwa. Teh teh teh.
 
Ni kupoteza muda, kwa siasa zetu, kuanza kujiuliza sababu za watu kuhama vyama wakati ziko wazi! Watu wanatafuta fursa na nguvu za kimamlaka, basi. Wolper anatafuta pesa, Mpendazoe anajua CCM ya leo inaweza kumuondolea njaa kali aliyonayo baada ya kukosa fursa yoyote Chadema!

I see...basi sawa !!!
 
Hivi ninyi mliopotezea kura zenu UKAWA mliamini Kabisa Lowassa atakuwa Rais!!!!!!!!? Thubutuuuuuuu!
Mpiga dili, this kind of pple ndio asiowataka magufuli.
1469357743385.jpg
 
Akili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Mi nawashangaa sana watu...who is wolper by the w way...hiv ana mchango gani ktk maendeleo ya taifa hili..yaan kumjadil huyu ni kupotexa muda tu
 
Kafanya jambo la mana saana ,
Uko ukawa walikuwa wanamtia njaa tu Ccm ata hasipopata cheo anaweza kupata Bwana Waziri
 
Kutoka kwa Mkongo mpaka kwa Harmonize.... Kutoka CHADEMA mpaka FISI-M..... frustrated.
 
Back
Top Bottom