Jacqueline Wolper arudi CCM

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, alitangaza kujiunga na CCM rasmi jana.

Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

Je Wolper kujiunga na CCM ni kwa mapenzi ya dhati au ni kafata ulaji?

Kwanini akajitangaze kwenye mkutano mkuu wa CCM??

Sipati mantiki ya yeye kujitangaza kwa mkutano ambao lengo kuu halikua lile..

Nawasilisha mada..
Wacheni kumpa mtu umaarufu wa bure,hivi walper ni nani hapa tanzania bwana?
 
Seriously kabisa tumajadili Wolper!!?

Angalia tuu maamuzi ya maisha yake ya kawaida halafu uta jaji kama alicho fanya ni kigeni

Anyway nadhan hii uzi ili takiwa iwe ni ya celebrities
Kweli kabisa mkuu nashangaa tunapoteza muda wetu hata kutaja jina la huyo mtu ni kupoteza muda
 
Kwa maoni yangu kisiasa na hasa tunapoelekea 2020 naona swali lako halina tija kwa vyama vya upinzani. Halisaidii upinzani kujitathmini na kujiwekea mikakati mipya ili 2020 iwe na mafanikio zaidi. Afterall, mtu kuondoka chama ni haki yake ya kidemokrasia.

Lamsingi ni kuwa more objective na kujiuliza maswali magumu ya kwanini watu au mtu anaondoka kwenye chama...demotivation ni nini?? etc etc
Wacha ccm wahangaike na hao wasanii lkn siyo kwa chama makini kama cdm kuhangaikia na mtu kama walper ni kupoteza muda kabisa
 
Aliyewadanganya kuwa ukiwa mwanachama wa chadema ndio kujitambua ni nani??

Tangu lini Chadema imekuwa kipimo cha mtu kujitambua??

Kweli chama ambacho kinabadilisha gia angani na kuuzwa hovyo , hakina hata ofisi kwa miaka 20 ,ndio kiwe kipimo cha MTU kujielewa??

Bavicha kuna haja ya kupima bongo zenu, huenda mnamtindio wa ubongo.
 
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, alitangaza kujiunga na CCM rasmi jana.

Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

Je Wolper kujiunga na CCM ni kwa mapenzi ya dhati au ni kafata ulaji?

Kwanini akajitangaze kwenye mkutano mkuu wa CCM??

Sipati mantiki ya yeye kujitangaza kwa mkutano ambao lengo kuu halikua lile..

Nawasilisha mada..

Kwanza andika jina lake kamili anaitwa Jackline Wolper Masawe na ni chadema damu!
 
.......Nilichogundua, kabla haujaingia katika siasa
uwe na pesa inayokupa uhakika wa kula....njaa
mbaya!!!! - Edo kumwembe
 
2.jpg

Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana
Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.
5.jpg

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.
SOURCE:BONGO YETU BLOG
 
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa aki muunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, alitangaza kujiunga na CCM rasmi jana.

Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya kutangaza kujiunga na CCM.

Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.

Je Wolper kujiunga na CCM ni kwa mapenzi ya dhati au ni kafata ulaji?

Kwanini akajitangaze kwenye mkutano mkuu wa CCM??

Sipati mantiki ya yeye kujitangaza kwa mkutano ambao lengo kuu halikua lile..

Nawasilisha mada..
huu Uzi mahali lake ni Facebook au innsta huku hatujadili udaku, Huyo anayetajwa hapa wengi hatumjui
 
Tatizo la watanzania ni kuangalia pale jua linapozamia na kuamini ndipo dunia inapoishia! Ni wachache sana wanaoamini kuwa 'the sky is a limit' lakini wapo na watakabiliwa na kazi ngumu zaidi kuwaelezea hawa wasio na makazi maalumu!
 
Hivi wolper alikuwa na cheo gani chadema nauliza MTU akuwa ata mwenyekiti Wa tawi Wa chama kweli ccm mna shida sana yaani mmeshindwa ata kumshawishi kiongozi yeyote wa chadema ata wa mtaa ambaye alichaguliwa ndani ya uchaguzi wa chama aje Dodoma unawaita kina wolper Na mgana msindai na mpendazoe kweli ccm mmeishiwa
 
Back
Top Bottom