Jackline Ntuyabaliwe

mmmhh noo.. 4 me she is not, mbona kuna warembo kibao 2 wako kitaa, seme hajapata mwanya wa kuuza nyago...! frankly...4 me the most beautiful gal/ woman in the world iz ALICIA KEYS......!
 
Siyo mhaya.I believe ni muangaza or some sort. namfahamu dada yake mmoja anaitwa shimimana. Ofcourse she is beautiful. beauty is in the eyes of the beholder
 
IMG_0213[1].jpg
Mbona picha hiii yaonekana mzeee
Uzuri wa ni upi?
kapendeza kivip?
 
mmmhh noo.. 4 me she is not, mbona kuna warembo kibao 2 wako kitaa, seme hajapata mwanya wa kuuza nyago...! frankly...4 me the most beautiful gal/ woman in the world iz ALICIA KEYS......!

you have my support on this! Jack bila makeup kitu fisi tu, uso una madoa tu kama sie!
 
Hivi alishiriki 'miss world' ya mwaka gani vile? Tunaweza kuanzia kwenye record hiyo kujadili/kutathmini kama kweli anashikilia record ya dunia kwa 'uzuri' (kwa sasa)!

 
Labda mzuri kwa nyie mnaopenda light skin.Binafsi napenda demu black awe black tii,kama rangi ya jongoo ile species kubwa.Hawa wa rangirangi siwazimii kabisaa.Kama kuwa mweupe ndiyo uzuri,bora nichukue mzungu tu,nijue moja
 
1. Hoyce Temu
2.
3.
.
.
.
infinity Jackline Ntuyabaliwe

It takes more than skin color to be beautiful
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom