Jackline Mahulwa Masanja: Nyota iliyozimwa kabla ya kuangaza...

Hapa dawa labda zije private service za investigation ili walau kwa kesi sensitive tupate watu wa kuchunguza kwa kuridhisha kabisa kuwa uchunguzi umefanyika. Siku ukiwa Police ndio utajua kama tuna wapelelezi serious. Utaishia kusimuliwa matukio kama yako then unaambiwa "tutafatilia "
 
Malisa, umeandika vizuri na kutufanya, hata wale ambao hatukumjua Jack sana kurejesha kumbukumbu ya ushiriki wake ktk maendelea ya democrasia nchini. Hata mimi nachukia sana haka kaphrase; "watu wasiojulikana". Pia sikusikia makamanda wengine wakishikia bango kifo hiki na hili nalo linasikitisha.

Piga moyo konde Malisa. Mwisho wa udhalimu huu hauko mbali.
 
Labda kupitia kifo hiki tutambue wazi kuwa CID siku hizi hawafuatilii kesi labda ihusishe vigogo. Msishangae mpelelezi wa hii kesi hakufika hata eneo la tukio na kama alifika ni siku wanachukua maiti. Polisi unapeleka taarifa ya wizi wa gari inachukua zaidi ya wiki mpelelezi hafiki hata eneo la tukio hadi utafute vigogo wa kupiga biti au uhonge ndio kidogo uone mpelelezi akizugazuga kufatilia. Kama kuna mtu anaweza kufatilia jalada la hii kesi ya Jackline mtashangazwa kuna nini ndani yake.....utakuta porojo tu.

. . . . . . . . .

Pumzika kwa Amani Jack
 
Inauma kupita maelezo.

Usalama wangeanza na aliyekua boyfriend wake.
 
Hii taarifa inasikitisha sana,binafsi machozi yamenitoka na kuniachia maswali kichwani.
1. Kwa nini aliuwawa.?
2. Kama ni siasa,waliotekeleza walifaidika na nini?.
3. inawezekana akawa na background zaidi ya uliyoileta.
4.Mwisho kabisa kwa nini mungu aliruhusu kifo chake?.

Mwisho niseme tu kwamba sisi hatuna police nchi hii,just image na mfumo wa kuitawala.Watu wametoa mifano mingi kuhusu kauli ya wahusika "hawajulikani".Mimi sishangai,ila kumbukeni kuna wale wanaojulikana na baadhi kutajwa,ni nani huwa anawakamata.Nakumbuka mpaka kuna gazeti limefutwa mpaka leo baada ya kusema ukweli wa nan alimteka ulimboka.Ukiwaza sana kuhusu tanzania yetu kwa sisi ambao ni mabarozi wa amani dunia,is better ukaenda kuishi somalia cz HATUKO SALAMA.
 
Pole !Kwa watu wa karibu wa marehemu wanaomjua kiundani wanasema pia marehemu alikuwa mtu hatari na huyo rafiki yake aliyekuwa naye ambaye pia ni marehemu mwenye undugu na kigogo mmoja serikalini.Marehemu Jackline hakufa kisiasa kama unavyodai tuache kuongelea mambo kwa utashi wetu na kupotosha ukweli.Hapo TCRA imefanyaje?Pili tusipandikize mambo kwenye vyama vya siasa?Fikiria Mara elfu moja na tuache kuongea kwa hisia.
 
Funguka mkuu kuna ki point hapo umegusia cha kuwa ' hatari' kwa link na binti wa kigogo, tupe japo kidogo
 
Pole !Kwa watu wa karibu wa marehemu wanaomjua kiundani wanasema pia marehemu alikuwa mtu hatari na huyo rafiki yake aliyekuwa naye ambaye pia ni marehemu mwenye undugu na kigogo mmoja serikalini.Marehemu Jackline hakufa kisiasa kama unavyodai tuache kuongelea mambo kwa utashi wetu na kupotosha ukweli.Hapo TCRA imefanyaje?Pili tusipandikize mambo kwenye vyama vya siasa?Fikiria Mara elfu moja na tuache kuongea kwa hisia.

Kiongozi unaonaje ungeisaidia Polisi juu ya "uhatari" wa marehemu ili kuibua ukweli na kusaidia jamii iliyobaki. Coz kuna kitu inaonekana unakijua but hutaki kukisema.

On other hand, hakuna nilipopandikiza siasa kama ulivyojaribu kuandika hapo juu. Kusema Jack alikua mwanachama wa CHADEMA ni kupandikiza siasa? Hivi Leo Kikwete akifa tukasena alikua mwanachqma wa CCM tutakua tumepandikiza siasa? Nadhani ni vizuri ifike mahali tutofautishe historia ya mtu na hicho unachokiita "kupandikiza siasa"

Anyway, mimi nimeongelea ninavyomfahanu marehemu kwa upande wangu, kama na wewe unamfahamu kwa namna nyingine ambayo ni tofauti na hii huzuiwi kusema.!
 
nchi yetu sio salama tena ,pamoja na kumuomba mungu ni muhimu kila mtu akajua wajibu wa kupigania maisha ya haki ya mwenzake ,poleni familia nafikiri namjua huyu binti ,ni taarifa ya huzuni sana lakini lazima tuendelee mbele na vita ya kubadili mfumo na maisha ya taifa letu . Poleni sana

nchi ya watawala dhalimu wanao tupofusha akili kwa neno amani ya nchi!
-ole wao siku cdm tutakapo ingia magogoni.
 
malisa tafadhali naomba unisaidie namba ya ndugu zake na yako pia ningependa kujua zaidi juu ya jambo hili pengine kuna wsjibu tunaweza kuuzingatia namba yangu ni 0764150747 lema mp

safi sana mh.mbunge.
-daima nitakukubali!

C.c.
G.l malisa.
 
Back
Top Bottom