Jackie Chan vs John Depp

Mfupa

Member
Nov 11, 2011
37
3
Who Is The Best Actor? baada ya kumlinganisha Johnny Depp na kuona Kazidiwa na Denzel Washngton kwa Wabongo wengi. Sasa tunamlinganisha na Bingwa Jackie Chan.
 
Johnny Who?...who is this dude?...Nilimfaham Jackie Chain nilipokuwa class 4!!.....The master of stunts!
 
Hivi wewe mtoa mada unajua movies kweli au unakurupuka tu kutoka usingizini na ku post vitu vy ajabu sasa utamfananishaje jacky chan na john depp wakati kila mtu ana style yake ya uchezaji movies?? hii ni akili au matope jana ulilinganisha johnny depp na denzel nikakaa kimya coz ulikosea pia jinsi ya kulinganisha sasa ngoja nikufundishe jinsi ya kulinganisha
siku zote unapotaka kulinganisha actor linganisha character ambao wanaweza kucheza the same role mfano kama character anatakiwa we black basi kuna will smith, denzel, martin, kat williams

kama characyer anatakiwa awe msichana wa ki latina basi anatakiwa mtu ambaye ata look like latina
michele rodrigues, jenipher lopez, penelope cruz n.k

na kama character anatakiwa awe mchina au mkorea au m indonesia basi jacky chan, jet lee, na nk

kama ni m russia basi kuna dolph lungren, gary oldman na wengine kibao

teenager actors
kuna kina stifler, zac efron na wengine

sasa ndugu yangu unavyosema unataka kumlinganisha jacky chan na depp unakosea mkuu tena sana

jacky chan mlinganishe na kina

jet lee, marc dacascos, bruce lee, liu kan wa mortal kombat, donnie yen, yaani watu ambao wana act martial art movies ndipo unaweza muweka jacky chan

johnny depp mfananishe na kina
harrison ford, orlando bloom, sean bean, nk

coz unavyoelekea waweza mfananisha johnny depp na angelina jolie

au waweza mfananisha johnny depp na Ramsey Noah na wabongo ninavyowajua wanaweza kusema RAMSEY NOAH yuko juu zaidi ya Johnny depp ni hayo tu

kama kuna mtu ana swali aniulize

Naunga mkono maoni yako. Uko On the line.
 
It is not about black or white Actor,Male or Female. Mashabiki wanajua wanachokipenda.
walioelewa Mada wanaendelea Kuchangia. So chagua unaempenda au acha kuchangia.
 
Hawa jamaa wana igiza different kind of movies, so aileti mantiki.. Labda Jack chen vs Jet li/ steven seagal
 
umemjibu vizuri sana mkuu. Nadhani unafahamu movie industry. Kwa msiomjua John Deep google jina hilo. Jamaa ni noma!
 
It is not about black or white Actor,Male or Female. Mashabiki wanajua wanachokipenda.
walioelewa Mada wanaendelea Kuchangia. So chagua unaempenda au acha kuchangia.
mkuu tatizo sio kama mashabiki wanaweza kuipenda tatizo ni kwamba these two actors ni wa different Genres wana act movies tofauti
huwezi linganisha kwa jinsi hiyo na ndio maana watu wanashindwa ku comment huo kataa usikatae umekosea kuwapambanisha hawa watu vizuri fanya homework yako vizuri mkuu
 
Yaani hapa kama ni mziki hapa ni sawa na kupambanisha reggae na bolingo, wapi na wapi mkuu? Hapa umechemka ukubali hilo.
 
Back
Top Bottom