andry surlbaran
Senior Member
- Apr 13, 2011
- 166
- 20
Carica Aborita?????? ni nani?? mbona nime google naambiwa ni tunda la kijani
lakini mbona hata mwenyekiti wa kijiwe cha dodoma ameanza kusemasema kuhusu kuchanganya siasa na biashara kwamba ndio mwanzo wa kila lililobaya ndani ya kijiwe chake? Nadhani hata kama walikuja na azimio jingine lakini kuna baaadhi ya vipengele vilikuwa muhimu sana (hasa vinavyohusu maadili ya uongozi) kwa mustakabali wa nchi yetu basi wangevibakiza.... Mwalimu aliona mbali sana....Ilibidi liende zake kwa kuwa likikuwa ni sera ya CCM na nchi ilishamua kuachana na chama kimoja hapa Cigwiyemisi si wa kumalumu peke yake
Carica Aborita?????? ni nani?? mbona nime google naambiwa ni tunda la kijani
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Wakuu, kwa mjibu wa spika wa bunge letu, mzee JS Malecela kafanyiwa operation kubwa(moyo). Hali hii imesababisha mama Anne Kilango kutokuwepo mjengoni tangu awali. Tumwombee mzee wetu afya njema.
Ni hospitali ya humu nchini au nje ya nchi? Recover Soom J M
Mhh just guessing nadhani itakuwa ni nje ya nchi. But kwani ana umri gani?
Few years back babu yangu alikuwa na matatizo ya moyo daktari tena mtaalam wa hospitali moja siitaji jina alisema kwa umri wake ni risky kufanyiwa operation. Nadnai hizo risky ni wataalam wa nje tu wana viaa sahihi.
Na kwa kuwa alikuwa PM yuko entittled kwa matibabu sehemu yeyote .
Hope and wish he get well earliest
JF imekuwaje siku hizi jamani?! Tuweni sensitive na tuweke ubinadamu mbele. Leo anaumwa huyu Mzee KESHO NI WEWE, MIMI AU MWINGINE! Utajisikia vp pale watu watatoa maoni kama haya?umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani
Mungu amponye haraka kwa kweli
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani