J. Samwel Malecela ni mgonjwa

O.k kama yeye amekopa basi wewe utakopwa!!
Afadhali nikopwe kuliko kukopa kwa vile nitategemea kurudishiwa na riba juu, jua ukikopa umri unatumia miaka ya mtu mwingine au mtoto anayekufa kwa sulua atakudai siku ya hukumu.
 
julius kambarage nyerere


2/9/1960
1962
rashid kawawa




22/1/1962
9/12/1962
carica abolita 1962/1972
rashid kawawa


17/2/1972
1977
edgard moringe sokoine
Edward_Moringe_Sokoine[1]_small.jpg



13/2/1977
1980
cleopa david msuya
msuya-kleopa[1].jpg



7/11/1980
1983
edgard moringe sokoine



24/2/1983
1984
salim ahmed salim

salim[1].jpg


24/4/1984
1985
joseph warioba
WARIOBA.jpg




warioba[1].jpg


5/11/1985
1990
john malecela

Malecela[1].jpg


9/11/1990
1994
cleopa david msuya
msuya-kleopa[1].jpg

msuya_small.jpg

7/12/1994
1995
frederick tulway sumaye

sumaye[1].jpg


28/11/1995
2005
Edward Lowassa

lowassa00[1].jpg


30/12/2005
9/2/2008
Mizengo Kayanza Peter Pinda

pinda[1].jpg



9/2/2008
.




Mkuu nashukuru sana mimi nilikuwa sijui kama carica abolita alishawahi kuwa waziri mkuuwa nchi hii!!
 
kwa wanaomfahamu, he is the wise old man. ni vizuri tukamwelewa huyu si mwanamagamba. upone haraka mzee wetu Cigwiyemisi Malecela.
 
Neema bado ingalipo angekuwa mjanja angeokoka tu hapo angepiga bonge la bingo! mosi angewa kula za Ezekia, pili uzima wa milele.
 
umri aliofikisha unamtosha sana hata akifa hakuna hasara kwa taifa coz ni mzigo toka zamani

Tunajua kua ulimi hauna mfupa kama wahenga walivyosema! Kwa kauli yako hapo kwenye Red sio kauli nzuri na tunajua kila kiumbe kitaonja mauti lakini mkuu hapo umechemsha tafadhali kua Great Thinker!
 
Pale lilipoondolewa tulikuwa tunaishi wapi?
Maisha yalikuwa yaendelea kuwa vizuri siku hadi siku hadi leo nadhani tungekuwa mbali sana ........kwa mawazo yangu kasome Azimio la Arusha sehemu ya 5 A nadhani hapa ndipo mwanzo wa wa kila kitu kibaya.....rushwa, ufisadi,......
 
Maisha yalikuwa yaendelea kuwa vizuri siku hadi siku hadi leo nadhani tungekuwa mbali sana ........kwa mawazo yangu kasome Azimio la Arusha sehemu ya 5 A nadhani hapa ndipo mwanzo wa wa kila kitu kibaya.....rushwa, ufisadi,......

Ilibidi liende zake kwa kuwa likikuwa ni sera ya CCM na nchi ilishamua kuachana na chama kimoja hapa Cigwiyemisi si wa kumalumu peke yake
 
Back
Top Bottom