J. Lopez ooouuuuiii!

slide_198260_487659_huge.jpg


slide_198260_487660_huge.jpg


Mama Sitta hajachacha kwa kweli.


,,,,,,,,Ha ha haaaaaaaa,baba kwa nyuma hapo yupo kwenye hali MBAYA!!!,manake akicheki JITUMBUA hili hapa lakini ndo vile tena wapo kwa steji,mjamaa KAJAZIKA ile mbaya ha haaaa!!!
 
mkali mkali tu utamaduni na mazingira ya kwao yanaruhusu mwambieni na lina hafanye hivyo uone kama hafungiwi kuimba bongo.
 
Jamani jamani jamani jamaani!
Ama kweli dunia
walimwengu
wameivisha
bikini na sidilia
ilh ipendeze zaidi.

Ombi langu kwa
umoja wa watu matajiri dunia , wafanye mchakato wa viwanda vyote vya nguo viwe vinatengeneza nguo za kutoke beach ndio ziwe za ku shindia mtaani. Au wadau wengine mwasemaje!
 
..... wow factor.... damn awesome !! No wonder yule dogo dancer wake anatafuna vitumbua kwa chai ya maziwa kilaini.. ! Huyu na beyonce..... mhhh. Sio hilo dume Nicki Minaj...

Tena baada ya hii shoo, kama kawa dogo alienda kutafuna kitumbua kwa uma.... teh.... teh.... usupa staa kweli kazi, kama lingekuwa gari basi ishakuwa screpa . Ukianzia kwa P.diddy,........,.......,.......,...... marc anthony ambae kampiga chini mbili na akavimba juu. hadi kwa mcheza shoo wake...,

Basi na wasanii wa kibongo watageza.....!
 
Back
Top Bottom