J Lo ala mweleka!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,223
113,546
J Lo akiperform wimbo wake mpya uitwao "Louboutins". Safari ijayo akiwa anatumbuiza na kurukaruka ni vyema avae raba za adidas au nike na sio kuva "Louboutins" na kuruka ruka.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JqYWav5rp1w[/ame]
 
alijitahidi kunyanyuka kwa haraka,ili kuua soo lakini raia walikuwa wameshaidaka.Pole shemeji yangu JLO
 
Yap, mambo ya jana hayo america music awards.Ila hii style aliyokuja nayo si mchezo.......lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom