J. K. Nyerere, alituachia nini ndani ya CCM!?

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Nakiri kuwa Nyerere alifanya mengi mazuri ambyoyamebakia historia leo. Sina sababu ya
kuyataja kwani kila mtazania, mtu mzima na mwenye akili timamu
ameyaona ama ameyameza kupitia shuleni, enzi zile za zidumu fikra za mwenyekiti!!!

Kama kuna mambo mabaya ambayo mwalimu hakuyafanyia kazi, angeyashuhudia kwa wakati huu,
mbali na kutengeneza watazania mbumbumbu wa kutafakari na wa kipato, mwalimu ametuachia
MAFISADI wa kufa mtu!!!!!!!!

Mwalimu alishindwa kutengeneza sheria na mfumo wa kiutawala wenye kuondoa dhuruma na
ufisadi na akajenga yeye kama m/kiti wa chama na akadhani kina Mr. Clean wangekuwa mbadala kumbe
uongozi mzuri hautoakani na mtu mmoja bali na MFUMO mzuri wa kiutawala.

Mwalimu alituachia MFUMO wa kifisadi na KIONEVU unaoendelea kutumia nguvu ya dora kukandamiza wanyenge.

Nawasilisha.
 
Kajoka = A very small snake but a very big SATAN.
Nawasilisha.
 
Umeniwahi, wakati nasoma ndo jibu lililokuwa kichwani mwangu.
Hajui kuwa walipolikataa azimio la Arusha basi, ndipo tulipojimaliza.

Pamoja ma napungufu lililokuwa nayo
Haikutakiwa kulikataa bila kuweza mbadala wa kuwasimamia viongozi.
Aliacha Azimio la Arusha pia. Unalijua vizuri hili?
 
Aliacha azimio la arusha sawa,
but kuna makosa aliyafanya wakuu, hakufikilia kuwa kwenye uongozi anaweza akatokea taahila, angeweka system ya kuwabana hawa watu especialy yakishushushuu, achana na hii ya sasa inayoriport kwa mwenye uwezo mdogo kiakili wakuu!
 
Alifanya baadhi ya makosa, definitely YES.

Hili wala sio tatizo lake, hili ni tatizo la watanzania kumwachia mmoja awaze na kutenda kwa ajili yao
Lazima kuna vitu ata-overlook.

Hicho ndicho alicho-initiate yeye, wengine walimsaidiaje?

Kumalaumu Nyerere huwa naona ni 'sunk cost'
Sababu waliobaki wanaweza fanya hata kama ni kwa kushinikiwa na sie wanachi.

Matunda ya Azimio la Arusha hayapo kwa sasa, tuseme ukweli jamani!!! Nadhani lilipinga unyonyoji. Wazee waliozaliwa na kukulia kwenye misingi ya Azimio ndo wanyonyaji wakubwa!!! Nadhani JKN alilijua yeye peke yake!!!!!
 
Umeniwahi, wakati nasoma ndo jibu lililokuwa kichwani mwangu.
Hajui kuwa walipolikataa azimio la Arusha basi, ndipo tulipojimaliza.

Pamoja ma napungufu lililokuwa nayo
Haikutakiwa kulikataa bila kuweza mbadala wa kuwasimamia viongozi.

Nakuunga mkono lkn swali ni kwanini waliolikataa walikuwa wamelelewa na JKN? Kama Azimio lingekufa miaka 50 baada ya mwl. kung'atuka ingekuwa sawa. Walioliua ni watu wake. Hawakuwa na maadili. Ndo majizi wakubwa..........! Ndo wanatumia udhaifu wa kimfumo alioucha mwl. uliotoa nguvu kwa mtu mmoja au wachache kuhodhi madaraka na ndo maana wanaendelea kubadilisha na kuishikilia nchi kimabavu kupitia mafisadi, dora na CCM.
 
Hakuna jinsi yoyote madude ya yanayofanywa na CCM mwl. anaweza kuepuka lawama!! Nampenda sana mwl.
Nadhani nina haki ya kuhoji jinsi mwenendo unavyoenda wa uendesha nchi.

CCM toka TANU mtoto wa TAA ni dhahiri kwa sasa kimekiuka malengo yote ya ukombozi wa taifa letu. Hivi vyote ni vyama vya mwl!!!!

Ni ugumu wa maisha watanzania waliowengi walionao unaozalishwa na sera za CCM. Kuna wengine wanadiriki kusema
kuwa sisi na wengine tulisomeshwa na mwl bure, elimu hii imeleta nini????!!!! Majizi tu? Mbumbumbu tu!!!!.........! Elimu
ni maarifa, ujuzi, utamaduni unaoongozwa na mifumo ya kimaisha kuelekea katika maendeleo chanya.

Sisi tunaenda hasi kabisaaaa.
 
Nyerere hakupenda kuwa challenged, kuna watu ambao walikuwa wana burn inside kum challenge wangepewa nafasi miaka ile wakatoa duku duku lao esp ndani ya chama naamini tungefika mahala pazuri na haya yanayotokea leo yasingetokea.

Huwezi kuwa baba unapiga mikwara watoto wapo kimya ukasema wamekuelewa au watafuata nyendo zako. Lazima uwape nafasi watoe ya moyoni ili ujue yaliyomo kwenye vichwa vyao . Walikuwepo wachache tu wenye mawazo tofauti ambao walipaza sauti wakina Kambona.
 
Alifanya baadhi ya makosa, definitely YES.

Hili wala sio tatizo lake, hili ni tatizo la watanzania kumwachia mmoja awaze na kutenda kwa ajili yao
Lazima kuna vitu ata-overlook.

Hicho ndicho alicho-initiate yeye, wengine walimsaidiaje?

Kumalaumu Nyerere huwa naona ni 'sunk cost'
Sababu waliobaki wanaweza fanya hata kama ni kwa kushinikiwa na sie wanachi.

Kumlaumu mwl. si sahihi, lakini kutazama chanzo cha upuuzi mwingi unaoendele ndani ya serikali kuna leta mashaka na
fikra mpya kuhusu kazi ya mwalimu katika kutengeneza taasisi imara za kuliendeleza taifa kwa miaka 50 ya uhuru.

Ni udhaifu huo huo wa kiutawala aliouacha mwalimu unatumiwa na watawala warafi kujichimbia katika lindi la utajiri na kuacha waliowengi wakifa kwa umasikini........!

Kosa kubwa ni kuandaa watu/mtu bila kuandaa mifumo na taasisi. Itatucost sana!
 
Nyerere hakupenda kuwa challenged, kuna watu ambao walikuwa wana burn inside kum challenge wangepewa nafasi miaka ile wakatoa duku duku lao esp ndani ya chama naamini tungefika mahala pazuri na haya yanayotokea leo yasingetokea.

Huwezi kuwa baba unapiga mikwara watoto wapo kimya ukasema wamekuelewa au watafuata nyendo zako. Lazima uwape nafasi watoe ya moyoni ili ujue yaliyomo kwenye vichwa vyao . Walikuwepo wachache tu wenye mawazo tofauti ambao walipaza sauti wakina Kambona.

Nakuunga mkono mkuu. Wewe ni miongoni mwa wachache wanaosema ukweli.
 
Nakiri kuwa Nyerere alifanya mengi mazuri ambyoyamebakia historia leo. Sina sababu ya
kuyataja kwani kila mtazania, mtu mzima na mwenye akili timamu
ameyaona ama ameyameza kupitia shuleni, enzi zile za zidumu fikra za mwenyekiti!!!

Kama kuna mambo mabaya ambayo mwalimu hakuyafanyia kazi, angeyashuhudia kwa wakati huu,
mbali na kutengeneza watazania mbumbumbu wa kutafakari na wa kipato, mwalimu ametuachia
MAFISADI wa kufa mtu!!!!!!!!

Mwalimu alishindwa kutengeneza sheria na mfumo wa kiutawala wenye kuondoa dhuruma na
ufisadi na akajenga yeye kama m/kiti wa chama na akadhani kina Mr. Clean wangekuwa mbadala kumbe
uongozi mzuri hautoakani na mtu mmoja bali na MFUMO mzuri wa kiutawala.

Mwalimu alituachia MFUMO wa kifisadi na KIONEVU unaoendelea kutumia nguvu ya dora kukandamiza wanyenge.

Nawasilisha.

Alituachia ving'ang'anizi kama Edu,Kiwete nk.
 
Hivi wanaomlaumu Mwalimu kwa uozo huu wa viongozi wa sasa wanatoa sababu gani..? Mwalimu alitengeneza chuo cha kuwafunda viongozi watarajiwa.. Alitengeneza mfumo wa kuwapata viongozi wa chama na serikali kuanzia chini mpaka juu.. Mlitaka afanye nini sasa.. Ikiwa Mungu muumba wa mbingu na nchi aliwaumba binadamu na wakaja kumbadilikia itakuwa Mwalimu..!
 
Ikiwa Yuda alikaa na Bwana yesu akamgeuzia kibao kwa ajili ya shekeli,sembuse Mr Clean na wengineo shekeli ziliwafanya wawe mafisadi na kusahau kitu kinaitwa Azimio la Arusha,na ikumbukwe azimio lilikufa wakati Nyerere akiwa hai na alilikemea na mahala fulani alitamka kwamba " wapuuzi fulani wamekaa wakatoka na azimio na Zanzibar ambalo kimsing ni kuua misingi mizuri ya Azimio la Arusha,huu ni upuuzi mtupu"
 
Back
Top Bottom