J e huu ni uungwana MASTERS miaka minne?

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
695
12
Wajameni wanaJF, kweli hii inasikitisha, rafiki yangu amemaliza course work yake kama kawaida na kusoft bind thesis yake mapemaaaa miaka miwili iliyopita, tatizo limekuja pale kazi haikupelekwe kwa wakati kwa external supervisor au hata haikupelekwa kabisaa matokeo yake kuchelewa kurudi kwake ili arekebishe na kuhard bind kwa wakati na kugaraduate, NAULIZA KWELI HUU NI UUNGWANA KWELI MASTERS MIAKA MINNE BADALA YA MIWILI?, kweli imuuma sana huyu jamaa. Je hii hutokea chuo kama SUA tu au hata vyuo vingine? JADILI NA CHUKUA HATUA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom